#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

Mkuu unajua wewe ni genius sitegemei maswali rahisi namna hii. Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo...
Niliwahi kukuchukulia kama mtu timamu,
 
Mkuu mshana hata huyo waziri naye anamajibu ya hovyo tu ndiomaana awali bandiko langu nikakwambia unafeli unapo weka sides, kama mtu alikua kwenye cabinet ya kwanza na sasa amebadilika alitakiwa aseme waziwazi aliamini...
Tusi halijibiwi kwa tusi huko kutakuwa ni kukosa hekima uadilifu weledi na kuwa na akili ndogo!

Chizi akikukuta unaoga anachukua nguo akakimbia nazo ukimkimbiza utaonekakana chizi kumzidi
 
Tusi halijibiwi kwa tusi huko kutakuwa ni kukosa hekima uadilifu weledi na kuwa na akili ndogo!
Chizi akikukuta unaoga anachukua nguo akakimbia nazo ukimkimbiza utaonekakana chizi kumzidi
sidhani kama wewe ni mshana ninayemjua
 
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake?
Kila Mara huwa napenda kukuambia usijifanye unajua kila kitu.ulitaka akayasemee bungeni?.bungeni alishayasema.au kichwa chako hakiweki kumbukumbu.pili kuwa kanisani sio kwamba mambo ya kidunia hayaongelewi.

kwani anaowaongoza wapo duniani na wanatakiwa wayajue ya dunian kwa ufasaha.pia hii chanjo mnayoipigia chepuo mbona wananchi hawana shida nayo!,watu tunashida na pesa.eti hana haki ya kuwaambukiza wengine.hao wabunge sijui wanakaa dunia yao?

Tupo nao kila siku mitaani na sisi hatujachanja wanakuja kutuhutubia hao mawaziri wakati sisi hatujachanja.kama ni hvyo wawe wanatoka makwao wanaenda job wakitoka job warudi makwao lakin kama wanaendelea na maisha hayahaya ya kawaida sioni haja ya kuwalazimisha wabunge wachanje.
 
Serikali sio ya kipuuzi kiasi Hi ho mpaka imjibu mpayukaji...! Kuna namna ya kuwasiliana kuna namna ya kuwasilisha hoja
Gwajima kaenda kuropoka kwenye kanisa lake halafu mnataka serikali imjibu? Are serious?
Kama kuna kitu serikali itafanya basi ni kuchukua hatua kulingana na,maadili ya uma.. Ufafanuzi umeshatolewa elimu imeshatolewa... Wengi wenu mmebaki na kutaka ajibiwe badala ya kuangalia serikali imesema nini
HV huwa ujipimi hata kwa kuangalia like kwa unachokiongea.wanaokupinga ni wengi kuliko wanaokukubali.umeingia cha kike
 
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake?
Chanjo gani nyingine kabla ya kuchanjwa ulikuwa una saini form ya likikuta hamna wa kumlaumu?

Chanjo gani nyingine ilikuwa ya kulazimishana kama hii?

Chanjo gani nyingine ilikuwa ya mwendo kasi kama hii?

Ya ukimwi unaambiwa inafanyiwa tetsting huu ni mwaka wa 5 tena kwa wanyama, kwa binadamu unaambiwa matokeo ni hadi 2023 kwa nini hii iwe fasta fasta tena na cheti juu?
 
MTAZAMO kaka kuna mahali nimejibu hivi
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake...!
Ndg jinsi unavyojibu swali ndo kama Serikali inavyojibu hivyo hivyo kiwepesi

Kwahiyo kwa sababu hii siyo chanjo ya kwanza kuja Tanzania unashauri tuchome tu.?

Bungeni alihoji na kupinga hii chanjo na mda huu hamna vikao vya bunge toka mwezi wa saba huko na chanjo imeanza kutolewa mwezi wa nane unataka akae kimya tu hadi tena bunge litakapoanza.?

Waziri alikosea kumattack binafsi Askofu inshu ilikuwa chanjo yeye akaleta mambo ya mrembo,mambo ya Chifupa na mambo ya Kibwetele wakati alitakiwa kujikita kwenye chanjo tu.!

NB: Mimi nimechanja at own risk.!
 
Ndg jinsi unavyojibu swali ndo kama Serikali inavyojibu hivyo hivyo kiwepesi,
Kwahiyo kwa sababu hii siyo chanjo ya kwanza kuja Tanzania unashauri tuchome tu.?
Bungeni alihoji na kupinga hii chanjo na mda huu hamna vikao vya bunge toka mwezi wa saba huko na chanjo imeanza kutolewa mwezi wa nane unataka akae kimya tu hadi tena bunge litakapoanza.?
Waziri alikosea kumattack binafsi Askofu inshu ilikuwa chanjo yeye akaleta mambo ya mrembo,mambo ya Chifupa na mambo ya Kibwetele wakati alitakiwa kujikita kwenye chanjo tu.!
NB: Mimi nimechanja at own risk.!
NB: Mimi nimechanja at own risk.! Hongera sana
 
Mshana jr kule bungeni nani anayeweza kuwatetea watu wasiotaka kuchanjwa?
Kama ni Spika Tuambie
Kwani msimamo wa Gwajima ulikuwa upi kabla na baada ya kupata Ubunge.
Tumia uganga wako kutubashiria Madhara ya Chanjo kwa miaka ijayo. Wewe unaweza kujuwa tatizo la mtu kabla hata hajafika kwako.
Jibu hoja za Gwajima. JJ wametengeneza busta hakuna majaribio yeyote yaliyofanyika heti inasaidia kupambana na kirusi cha Delt.

Naona kama una support upande wa Serikali .
America wameshndwa Corona na Taliban ni bora Mchina aliyefanikiwa kudhibiti Corona
Anauganga gani.anafatilia simulizi za walozi ndio anakuja kutuandikia na sisi.ana lolote.angelikuwa mlozi angelikuwa anapiga hela.sasa HV anaganga njaa tuu na vikazi vya bukubuku
 
Serikali sio ya kipuuzi kiasi Hi ho mpaka imjibu mpayukaji...! Kuna namna ya kuwasiliana kuna namna ya kuwasilisha hoja
Gwajima kaenda kuropoka kwenye kanisa lake halafu mnataka serikali imjibu? Are serious?
Kama kuna kitu serikali itafanya basi ni kuchukua hatua kulingana na,maadili ya uma.. Ufafanuzi umeshatolewa elimu imeshatolewa... Wengi wenu mmebaki na kutaka ajibiwe badala ya kuangalia serikali imesema nini
Sasa kama ni mpayukaji wewe unaumia nini?

Selikali imeamua kumpuuza mpayukaji ila wewe hapa umeleta mada ya kutaka achukuliwe hatua! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna MTU hapo.mshana ni mtupu .nimemfatilia sana tangu nimeingia jf.anasoma vitabu na kuangalia utube ndio anakuja kutuletea vimada uchwara.tangu mboye awe zero amepoteza muelekeo kabisa
Umeingia JF 2017....hujui chochote kuhusu Mshana Jr, hata km amekengeuka kidogo kwenye hii ishu ya chanjo ' lakini credibility yake ni kubwa sana JF (akili kubwa) kulinganisha na wewe ambaye hata kuandika sawa sawa ni shida.
 
Back
Top Bottom