#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

Mkuu unajua wewe ni genius sitegemei maswali rahisi namna hii. Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.

Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?

Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!

Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?

Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.

Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?

Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?
Great thinker [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.. Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima

Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka

Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani
Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi
Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini...!

Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa...

Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects
Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake

Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..

Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini...!
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!

Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri..Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!

Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake.. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!View attachment 1904222
Mr mshana ,,hapa u pool off,,the government imefeli kujibu hoja za asikofu gwajima ,,kama umemsikia anasema wandae mdaharo aitwe Yuko Tayari ,alafu asikofu gwajima ni mtu Mungu anafundisha kondoo wake watende mema
 
Hao waumini unaosema wana shida na dhiki wakichanjwa ndio shida zao na dhiki zao zitaisha?

Je hii nchi ni Gwajima tu ana waumini wenye shida na dhiki na makanisa mengine ama dini nyingine zimejaa waumini mboga saba?

Wewe pia umeshindwa kutofautisha ama kujua tofauti ya dawa, chanjo na chakula. Kwamba chakula ukila kibovu utaharisha tu ilesumu itaisha, dawa ukila mbovu itachukua muda mfupi mwilini na itaisha, chanjo ambayo inaingia kwenye DNA yako utaishi nayo muda mwingi sana na kama ina madhara itaharibu kinga yako na hata uzao wako.

Sikubaliani na Gwajima ila kama ana hoja ajibiqe kitaalam nasio kuanza kumponda, kumsimanga, kumshambulia na kushambulia waumini wake. Ninyi nayeye mnakua na tofauti gani?

Jibuni hoja za Gwajima acheni kubwabwaja.
Hawana majibu ,,
 
Hawatakaa abadani walete majibu mkuu kwa hoja za gwajiboy! Wamefunua makabrasha yote kabatini ili wapate pa kudesa kitu kinasoma not reachable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake?
Hii sio chanjo ya kwanza, lakini hii ni ya majaribio, kwa sababu madhara yake ya muda mfupi, muda wa kati na ya muda mrefu hayafahamiki. Pia aliwasilisha hoja zake bungeni kama mbunge na sasa anawasilisha hoja zake kaniasani kwake kama askofu.Yupo sahihi kabisa100%.
 
Mkuu unajua wewe ni genius sitegemei maswali rahisi namna hii. Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.

Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?

Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!

Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?

Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.

Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?

Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?
👏👏👏
 
Hoja za Askofu Gwajima Waziri na Serikali wamezijibu?
Askofu kauliza ukipokea chanjo unaacha kuvaa barakoa? Je ukipokea chanjo utakuwa huwezi kuambukizwa au kuambukiza?
Ukichajanjwa halafu likaja wimbi jingine jipya la corona utachanja tena au?
Je Askofu amejibiwa hizi hoja zake?
Je Askofu kwani hana uhalali wa kuhoji?
Serikali sio ya kipuuzi kiasi Hi ho mpaka imjibu mpayukaji...! Kuna namna ya kuwasiliana kuna namna ya kuwasilisha hoja
Gwajima kaenda kuropoka kwenye kanisa lake halafu mnataka serikali imjibu? Are serious?
Kama kuna kitu serikali itafanya basi ni kuchukua hatua kulingana na,maadili ya uma.. Ufafanuzi umeshatolewa elimu imeshatolewa... Wengi wenu mmebaki na kutaka ajibiwe badala ya kuangalia serikali imesema nini
 
Mr mshana ,,hapa u pool off,,the government imefeli kujibu hoja za asikofu gwajima ,,kama umemsikia anasema wandae mdaharo aitwe Yuko Tayari ,alafu asikofu gwajima ni mtu Mungu anafundisha kondoo wake watende mema
Unadhani huo ndio utendaji wa serikali? My foot[emoji1787][emoji23][emoji23] eti iandae mdahalo na gwajima...hii kali
 
Siku moja pale Magomeni Kanisani Mama mmoja aliibiwa simu na kibaka, akapiga mayowe, wanachi wakaanza kumkimbiza yule mwizi. Kumbe wale hawakua wananchi pale vibaka wenzake wakimkinga jamaa asidhuriwe. Walikua wanajifanya kumpiga huku wakimwelekeza pa kukimbilia...kibaka akatokomea hakukamatwa.....

Moral: Kibaka hawezi kumkamata kibaka mwenzie ila sijataja mtu
 
Ila kaka Mshana Jr, Gwaji boy kuna hoja alizozijenga na kusema tangu mwanzoni akiwa Bungeni kuwa haipijgi Chanjo na akakiri uwepo wa ugonjwa. Alichotaka ni kujibiwa kwa Hoja kitaalamu kwa Mgagasiko wa maswali aliyokuwa nayo lakini hakuna mtaalamu hata mmoja ambaye amejitokeza hadharani kumjibu.

Ukisema mpaka sasa tumechanjwa chanjo ngapi na hakuna anayehoji uhalali wazo, nami nikuulize, Je chanjo ya Polio ilichukua miaka mingapi mpaka kuja kufanikiwa!? Chanjo ya Surua ilichukua miaka mingapi mpaka kufanikiwa!? Uangalie uhalali wa dawa za Mseto, ukikaa na daktari mliyeshibana, hatakushauri utumie Mseto(take it from me).

Kaka Mshana Jr hebu mjibuni Gwajima Chidi kwa hoja na sio Mkono wa baunsa, au habari za kufufua. Tunataka mumjibu kwa hoja sisi mambo yao ya kifamilia hayatuhusu!
 
Dada yetu D.Gwajima viatu vya Wizara ya Afya havimtoshi kabisa avivue tu yeye na timu yake yote.
Tumuombe mtoa mada atusaidie kutuambia staha na "HAIBA" ya mtumishi wa Umma inatapswa kuwa vile? Uongeaji wa mtumishi wa Umma mwenye renki kubwa ya Wizara anapaswa kujibehave vile? Hapo mtoa mada haoni na hawez ongelea sababu ameamua kutolea hasira zake kwa mtu mmoja.

Kujiuzulu ni sehemu ya kutunza legacy na imani kwa umma.....

Walichofanya hawa mawaziri miezi michache nyuma na hivi sasa ni kuiaminisha umma kwamba serikali inaweza kudanganya na kujikanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili kosa la Gwaji-mwanaume liko wapi? Dorothy na serikali ya awamu ya tano waliziruka kimanga chanjo na kupigia debe nyungu, wakuwashangaa ni wapigia debe nyungu ambao gafla misimamo yao imebadilika akiwemo Gwaji-ke na Rais mwenyewe. Gwaji-Mwanaume msimamo wake umebaki palepale.

Nguvu kubwa ilitumika kuzipinga chanjo awamu iliyopita, watumie nguvu hiyo hiyo kuwashawishi wananchi wakachanje, sio kutisha wasiotaka chanjo. Yaani watu tuliowakabidhi dhamana ya uongozi jana walisema chanjo hazifai, leo wanasema zinafaa, sisi wananchi wa kawaida tusiokuwa na uelewa wowote tufuate lipi? Makosa yao yaliyopita wasitake kumtwisha Gwajiboy.

Tunataka katiba mpya ambayo itaweka miongozo ya sheria, sera na taratibu zitazotumika kuongoza serikali kwa miongo na miongo na kubainisha sera katika mambo yanayohitaji dharura, Kama sio Katiba mpya basi wapinga katiba mpya watuambie ni kwa namna gani tutapata hii miongozo "written" itakayofuatwa na serikali za awamu zote ili tuondokane na hizi drama za kila serikali kuja na lake, tuandikeni maandishi yoyote yale ambayo yatatumika kama sheria, hata tusipoyaita katiba tuyape jina lingine (sababu kuna watu wakisikia katiba mpya wanapandwa na jazba na kuanza kufunga watu magerezani) nauliza tena kama si katiba mpya ninini basi tufanye, tunahitaji majibu!

Hata hivyo, MIMI NIMEISHA CHANJA, Sio kwa ushawishi wa serikali wala wa gwajinani sijui. Serikali isiwe kichwa cha mwendawazimu, kuna watu wanategemea sana msimamo wa serikali katika kufanya maamuzi yao, wanawatesa sana wananchi!
 
Siku moja pale Magomeni Kanisani Mama mmoja aliibiwa simu na kibaka, akapiga mayowe, wanachi wakaanza kumkimbiza yule mwizi. Kumbe wale hawakua wananchi pale vibaka wenzake wakimkinga jamaa asidhuriwe. Walikua wanajifanya kumpiga huku wakimwelekeza pa kukimbilia...kibaka akatokomea hakukamatwa.....

Moral: Kibaka hawezi kumkamata kibaka mwenzie ila sijataja mtu
Moral: Kibaka hawezi kumkamata kibaka mwenzie ila sijataja mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.. Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima

Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka

Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani
Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi
Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini...!

Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa...

Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects
Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake

Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..

Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini...!
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!

Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri..Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!

Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake.. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!View attachment 1904222
Uhamasisha huu, umekosa uungwaji mkono kwa sababu nyingi ikiwemo: Kutumika kwa watu walewale waliokuwa hawaamini katika sayansi. Makosa hayo yanachagizwa pia na Mama kutumia watu wa Aliyetangulia ambao hawataki kubadili mitazamo yao.
Kundi Hilo ndilo limpalo nguvu Mchungaji.
Yajayo yanafurahisha. Naomba kwa Allah ampe nguvu mama.
 
Back
Top Bottom