#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

Ila kaka Mshana Jr, Gwaji boy kuna hoja alizozijenga na kusema tangu mwanzoni akiwa Bungeni kuwa haipijgi Chanjo na akakiri uwepo wa ugonjwa. Alichotaka ni kujibiwa kwa Hoja kitaalamu kwa Mgagasiko wa maswali aliyokuwa nayo lakini hakuna mtaalamu hata mmoja ambaye amejitokeza hadharani kumjibu.

Ukisema mpaka sasa tumechanjwa chanjo ngapi na hakuna anayehoji uhalali wazo, nami nikuulize, Je chanjo ya Polio ilichukua miaka mingapi mpaka kuja kufanikiwa!? Chanjo ya Surua ilichukua miaka mingapi mpaka kufanikiwa!? Uangalie uhalali wa dawa za Mseto, ukikaa na daktari mliyeshibana, hatakushauri utumie Mseto(take it from me).

Kaka Mshana Jr hebu mjibuni Gwajima Chidi kwa hoja na sio Mkono wa baunsa, au habari za kufufua. Tunataka mumjibu kwa hoja sisi mambo yao ya kifamilia hayatuhusu!
Ukisema mpaka sasa tumechanjwa chanjo ngapi na hakuna anayehoji uhalali wazo, nami nikuulize, Je chanjo ya Polio ilichukua miaka mingapi mpaka kuja kufanikiwa!? Chanjo ya Surua ilichukua miaka mingapi mpaka kufanikiwa!? Uangalie uhalali wa dawa za Mseto, ukikaa na daktari mliyeshibana, hatakushauri utumie Mseto(take it from me).

Baraja maswali haya tumeshayajibu sana hapa JF na kwenye mitandao mingine
Ishu ya chanjo kuchukua muda mrefu ni hoja iliyokosa mashiko kabisa...chukulia dunia ya wakati huo na ya sasa mama zinafanana ..Teknolojia imerahisi vingi
 
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.. Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima

Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka

Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani
Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi
Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini...!

Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa...

Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects
Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake

Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..

Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini...!
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!

Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri..Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!

Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake.. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!View attachment 1904222
Kwani brother Yale mainzi makubwa ya Chooni, likiruka toka Chooni likaja kurandaranda sehemu unayolia chakula huwa unafanyeje?
Huwa unaliogopa kwa sababu ni kubwa au huwa tunalipepea taratibu lisije dondokea kwenye chakula??🙊🙊🙊

Wacha niendelee kujilazimisha kunywa kahawa japo siipendi Ila tu nipate story
 
Serikali sio ya kipuuzi kiasi Hi ho mpaka imjibu mpayukaji...! Kuna namna ya kuwasiliana kuna namna ya kuwasilisha hoja
Gwajima kaenda kuropoka kwenye kanisa lake halafu mnataka serikali imjibu? Are serious?
Kama kuna kitu serikali itafanya basi ni kuchukua hatua kulingana na,maadili ya uma.. Ufafanuzi umeshatolewa elimu imeshatolewa... Wengi wenu mmebaki na kutaka ajibiwe badala ya kuangalia serikali imesema nini
Sasa amesema bungeni, mmeshindwa kujibu hoja zake, amesema kanisani mmeshindwa kujibu hoja zake, mnataka wananchi wafanyeje zaidi ya kumuamini? Mfano mkiulizwa, side effects za hizo chanjo baada ya miaka mi5 kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni zipi, mnatoa macho kama bundi , tuwaeleweje sasa?
 
Tumuombe mtoa mada atusaidie kutuambia staha na "HAIBA" ya mtumishi wa Umma inatapswa kuwa vile? Uongeaji wa mtumishi wa Umma mwenye renki kubwa ya Wizara anapaswa kujibehave vile? Hapo mtoa mada haoni na hawez ongelea sababu ameamua kutolea hasira zake kwa mtu mmoja.

Kujiuzulu ni sehemu ya kutunza legacy na imani kwa umma.....

Walichofanya hawa mawaziri miezi michache nyuma na hivi sasa ni kuiaminisha umma kwamba serikali inaweza kudanganya na kujikanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongozi Institute,National Defence College,Utumishi na Utawala Bora sijui wanajisikiaje kumuona mwanafunzi wao huyu D.Gwajima akifanya anayo yafanya..
 
Sasa amesema bungeni, mmeshindwa kujibu hoja zake, amesema kanisani mmeshindwa kujibu hoja zake, mnataka wananchi wafanyeje zaidi ya kumuamini? Mfano mkiulizwa, side effects za hizo chanjo baada ya miaka mi5 kwa atakaechoma na kwa watoto atakaowazaa ni zipi, mnatoa macho kama bundi , tuwaeleweje sasa?
Kwahiyo hizi ndio hoja za kujibu? Chakula kizuri kikishachanganyika na uchafu sio chakula tena..HAKIFAI
IMG-20210823-WA0015.jpg
 
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.. Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima

Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka

Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani
Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi
Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini...!

Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa...

Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects
Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake

Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..

Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini...!
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!

Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri..Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!

Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake.. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!View attachment 1904222
akili nyingi huondoa maarifa ushajionyesha upo upande upi kifupi sisi atuchanji tuishie apo
 
Mi ninachoona hapa kwako mshana jr kwakuwa yule jamaa yetu kachwanjwa lazima nawe usimame haswa kutetea tunajua upo chama gan[emoji12][emoji12][emoji12] kwahy kawaida kwani uongo baba[emoji39][emoji39][emoji41][emoji41]
 
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake?
sababu sio yakwaza kuchanjwa ndo tuendeleh na machanjo ambayo mwazoni tuliyoyapinga
 
Kwahiyo hizi ndio hoja za kujibu? Chakula kizuri kikishachanganyika na uchafu sio chakula tena..HAKIFAIView attachment 1904297
Unaniuliza kwamba ndio hoja za kujibu? Kwani kuna hoja ambayo sio ya kujibu? Hoja moja wapo ni hiyo na bila kujibu hakuna mtu mwenye akili timamu atawaelewa. Mfano mmoja ni hiyo, kwamba side effects za hiyo chanjo baada ya miaka mi5 kwa atakaechomwa na kwa watoto atakaowazaa, ni zipi?
 
Mshana aka mzee wa kuwa verified , mada hujaitendea haki kwa kuonyesha moja kwa moja prejudice kwa gwajiboy kwamba anakoooosa hata gwaji girl unayemtetea hana uhalali wa kuwa Waziri wa Afya ni vile tu system iko rotten , yeye sindio alikua anapiga nyungu hadharani kipindi cha mwendazake na kunywa tangawizi na malimao, sasa anachojifanya kabadilika nini? alitakiwa awaombe radhi watanzania kwa usanii alioufanya, na pia kulikua na haja gani ya kuanza kumuattak shemeji yake mambo personal? wote wakosaji usiwe na sides , mara katest mitambo mara anakana kwamba hakuwahi kupiga nyungu na kuponda chanjo which is which
 
Kwani hii ndio chanjo ya kwanza Tanzania? Kwa nafasi yake kama mbunge je hiyo ndio ilikuwa njia sahihi ya kuwasilisha hoja yake?
Atakama sio ya kwanza lakini haindoi ukweli kuwa hakuna anaejua side effects za miaka 5-10 ijayo cos haikufanyiwa utafiti wa kutosha! Uoni chanjo ya ukimwa inaanza na watu 45 sijui wa majaribio? Then itafuata watu 100 then 300 then 1000 mambo yakionenakana mazuri wataruhusu itumike? Lakini mpaka kuja kuwafikia ao 1000 uenda ikawa mwaka 2035 wakati ya corona ina mwaka tu lakini mnataka watu wachanje eti wakipinginga mnakimbilia tecnologia inekuwa! Mbona hiyo ya ukimwi haitumii technologia hiyo mnayosema imetumika kwenye chanjo ya Covid?
 
Unaweza kuthibitisha Gwajima anapotosha vipi umma , Na si serikali ndiyo inapotosha umma ?
 
@Baraja maswali haya tumeshayajibu sana hapa JF na kwenye mitandao mingine
Ishu ya chanjo kuchukua muda mrefu ni hoja iliyokosa mashiko kabisa...chukulia dunia ya wakati huo na ya sasa mama zinafanana ..Teknolojia imerahisi vingi
Mshana Jr ukisema swala la muda mrefu halina mashiko sina hakika sana kama ni kuteleza, kukengeuka, dharau(niwie radhi kama utakwazika) ama umeamua tu kujifanya hujui kuhusu hili. Tangu mafua ya Sars miaka ya 2000 mwanzoni na trend yake yote mara sijui mafua ya ndege nk, hakukuwahi kuzingatiwa yatafutiwe chanjo tangu kipindi. Kansa ina zaidi ya miaka 100 mpaka leo haijapatiwa chanjo, Ukimwi una zaidi ya miaka 30, haijapatiwa chanjo.

Nilitegemea kuona kuwa wanatafuta kwanza chanjo ya mafua yanayoitesa Ulaya na nchi za duniani kila kifikapo kipindi cha baridi lakini imekuwa kimya. Shughuli imeanzia kwao wao wenyewe huko duniani kuipinga na mbaya zaidi kuna kipande cha vid nilikuwa nacho, kinaelekeza hizo chanjo ni za kutumiwa na watu wa nchi zipi na zipi hazitakiwi kutumia
 
Mshana aka mzee wa kuwa verified , mada hujaitendea haki kwa kuonyesha moja kwa moja prejudice kwa gwajiboy kwamba anakoooosa hata gwaji girl unayemtetea hana uhalali wa kuwa Waziri wa Afya ni vile tu system iko rotten , yeye sindio alikua anapiga nyungu hadharani kipindi cha mwendazake na kunywa tangawizi na malimao, sasa anachojifanya kabadilika nini? alitakiwa awaombe radhi watanzania kwa usanii alioufanya, na pia kulikua na haja gani ya kuanza kumuattak shemeji yake mambo personal? wote wakosaji usiwe na sides , mara katest mitambo mara anakana kwamba hakuwahi kupiga nyungu na kuponda chanjo which is which
The whole cabinet has taken a sudden about turn nimeandika hicho kitu ukiweza unaweza kusoma tena....
 
Ukisema mpaka sasa tumechanjwa chanjo ngapi na hakuna anayehoji uhalali wazo, nami nikuulize, Je chanjo ya Polio ilichukua miaka mingapi mpaka kuja kufanikiwa!? Chanjo ya Surua ilichukua miaka mingapi mpaka kufanikiwa!? Uangalie uhalali wa dawa za Mseto, ukikaa na daktari mliyeshibana, hatakushauri utumie Mseto(take it from me).

Baraja maswali haya tumeshayajibu sana hapa JF na kwenye mitandao mingine
Ishu ya chanjo kuchukua muda mrefu ni hoja iliyokosa mashiko kabisa...chukulia dunia ya wakati huo na ya sasa mama zinafanana ..Teknolojia imerahisi vingi
Umeonq juzi Gazeti la mwananchi limeqndika Chanjo ya Ukimwi itaanza na watu wangapi kwa stage ya kwanza ya kujaribia binadamu? Unafikiri itachukua miaka mingapi mpaka kuja kuruhusiwa kutumika? Au hiyo ya Ukimwi nayo haiko karne hii ya 21?
 
@Baraja maswali haya tumeshayajibu sana hapa JF na kwenye mitandao mingine
Ishu ya chanjo kuchukua muda mrefu ni hoja iliyokosa mashiko kabisa...chukulia dunia ya wakati huo na ya sasa mama zinafanana ..Teknolojia imerahisi vingi
Well said Mkuu.

Kama teknolojia imerahisisha mengi maana yake wazalishaji/wagunduzi wa hizi chanjo pamoja na serikali wana-confidence nazo.

• Je, kwanini wanajitenga na madhara yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya hizi chanjo?

• Je, kwanini tunapewa consent forms kabla ya kupata chanjo husika kama kweli manufacturers na serikali wanaamini katika ubora wake?

• Kama unaweza kuchanjwa na bado ukaugua ugonjwa husika, je, hii ni chanjo kweli au tiba?

Mimi ninafikiri badala ya kum-attack Askofu Gwajima, serikali ijikite kujibu hoja.
 
Umeonq juzi Gazeti la mwananchi limeqndika Chanjo ya Ukimwi itaanza na watu wangapi kwa stage ya kwanza ya kujaribia binadamu? Unafikiri itachukua miaka mingapi mpaka kuja kuruhusiwa kutumika? Au hiyo ya Ukimwi nayo haiko karne hii ya 21?
Vingine vyote vyenye madhara ya mbeleni mnavikubali bila kuhoji lakini chanjo ndio mmeiona peke yake
 
Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani? Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno la Mungu na kumdharau mke wako na familia yako? Huo si ubabe bali ni ujinga uliokomaa kupita kiasi. Kwa hiyo mafundisho yako ya dini yana-based wapi? Kwa watu kusaliti ndoa zao? Sasa una tofauti gani na asie na dini huku ukijidai wewe ni askofu? Kama kweli wewe ni kiongozi wa dini, unapaswa uwe na ile moral behavior na ujali pia ethics za kazi zako. Unachokifanya kinaendelea kukushushia heshima kiasi kwamba huna tofauti na wengine wenye tabia za kishenzi na kipuuzi. Hufai kwa lolote wewe mchungaji au askofu Gwajima, huna adabu, wala hekima na pia hujitambui. Sitaki kuongelea mengi kukuhusu ila bottom line ni kuwa hufai.

Credit kwake field marshall1
 
Kila jambo lina uwili...Hata kulia kuna uwili wake. .huwezi kulia milele kuna siku utacheka na huwezi kucheka milele kuna siku Italia
Sakata la usalama wa chanjo ya korona linaingia wiki ya tatu sasa kama si nne! Ni kinara wa hili sakata ni mchungaji Josephat Gwajima.. Ambaye ameshiriki kikamilifu kukwamisha, kuyumbisha na kupotosha dhana nzima ya chanjo husika! Gwajima ni kiongozi wa kiimani mwenye wafuasi wengi.. Hivyo kampeni take imeleta madhara makubaa nchi nzima

Upotoshaji wake ambao naweza kuupa vipengele vya seasons ni kama wiki hii unaingia season four sasa.. Seasons hizi huwa zinaanza siku ya ibada Jumapili kwenye kanisa lake na huwaandaa watu kuanzia Jumatano yake!
Huko ibada zake maranyingi si za kiroho bali za kupambana na wale wote wanaoenda naye kinyume.. Huko atakuchamba, kukusiliba na kukusema atakavyo na waumini wake watashangilia sana halafu watatoa sadaka

Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kiimani? Je Gwajima anaijua vema miiko ya kuwa mtumishi wa kisiasa? Weledi? Heshima? Hekima? Tafakuri!? Utu? Katika nafasi zote mbili?
Ni wazi Gwajima kashindwa kuyatambua mambo muhimu makubwa matatu yanayomfanya awe na uono kimo cha mbilikimo
Kashindwa kabisa kujitambua yeye ni nani
Kashindwa kabisa kujjijua yuko wapi
Kashindwa kabisa kujijua anafanya nini...!

Kama kiongozi wa kiimani na kisiasa kuna code of conduct inamuongoza kwenye kila nafasi! Alikuwa na nafasi nzuri kabisa ya kuwakilisha hoja Zane kupitia channel sahihi kama mbunge na pia kama kiongozi wa kiimani
Cha ajabu kashindwa kufanya hivyo na kuamua kutumia mimbari anayoita ya kimungu kupayuka na kuropoka, yaliyokosa, weledi, yaliyokosa uhalisia, yaliyokosa ithibati, yaliyokosa heshima na hekima na yaliyojaa upotoshaji mkubwa...

Hao waumini anaowatetea wasichanjwe ukiwaona wanatia huruma..wana shida. Wana dhiki kama zote! Wamepigika kimaisha na wengi wao ni wagonjwa wa magonjwa mengine mbalimbali
Wanatumia dawa nyingine za mzungu
Wamepata chanjo nyinginezo
Wameshawahi kupata chanjo na dawa nyinginezo na zikawaletea side effects
Wanatumia vitu vingi sub standards vyenye madhara kiafya kuanzia vyakula mpaka vinywaji na vingine vipo hapo nje tu ya kanisa lake

Sijawahi kusikia akitoa elimu ya afya kuhusiasa na vyakula vya kusindika viwandani, mbolea zenye kemikali, wanyama wa kukuzwa kwa madawa, carbonated juices, vidonge vya uzazi wa mpango na njia za kuzuia mimba zenye madhara mengi kiafya...lakini la chanjo yeye ndio kawa daktari na mshauri bingwa..

Chokochoko zake zimeingia hatua mbaya ya sasa, kutoka kisiasa mpaka mambo binafsi, mambo ya kifamilia, siri za familia ...hapa kavuka mipaka.. Ni wazi kabisa kashindwa kujitambua yeye ni nani yuko wapi na anafanya nini...!
Kama ni kukosea walikosea wanasiasa na mawaziri wote enzi za kayafa... Ule utawala ulikuwa wa one man show huwezi kupingana naye kama unajipenda.. Waliokengeuka kauli sio Dorothy pekee ni karibia mawaziri wote kama sio wote!

Kwa ubovu wa katiba tuliyonayo waziri wa afya yuleyule wa Magufuli inabidi sasa aende na biti ya Samia.. Ni ngumu lakini hakuna namna labda ujiuzulu..wanasisa wetu wengi ni vinyonga na hatuna katiba nzuri ya kuwaongoza!
Gwajima anaumizwa na kuukosa uwaziri..Gwajima kwa kificho yuko nyuma ya kundi kubwa faidika enzi za kayafa ambalo halina furaha na mama Samia.. Ukiachana na tofauti zao kifamilia..Gwajima hampingi waziri wa afya anampinga rais kupitia msaidizi wake!

Serikali iko kimya sana kwenye hili.. Ni uamuzi mzuri na wa busara japo una madhara yake.. Kutokurupuka kwenye ishu hii ya Gwajima kungefanyika kwa wengine na kwenye mengine ingepata mileage kubwa sana!
Gwajima anachokonoa sana ili ajibiwe..lakini hajibiwi.. Dorothy alijaribu lakini haraka sana akagundua kosa lake na kaamua kukaa kimya! Ukimya wa serikali dhidi ya upotoshaji na chokochoko za Gwajima ni kama kumpuuza lakini Gwajima amakinike kwakuwa ngoma ikivuma sana HUPASUKA!View attachment 1904222
Serekali sasa hivi imeshapigwa dafrau. Ni divine intervention baada ya miaka 5-6 iliyopita ya serekali ya CCM kuwatesa Watanzania.

Sasa hivi ni kauli gongana. Kauli vigugumizi.

Watu waliaminishwa kuwa Magufuli ana nguvu pengine kuliko hata Mungu. Akafa. Wananchi wamegundua ala kumbe viongozi pamoja na kujitutumua kimungu-mungu kooote huko kumbe nao ni chakula cha mchwa tu.

Sasa hivi tunaona RCs, ministers, nk wakitoa amri na maelekezo mbalimbali madhalani kuhusu korona, nk but cha ajabu hakuna mwananchi anayetii tena. Dharau chini kwenda juu. Ni trend inayobashiri kitu kimoja tu - UASI!

Civil disobedience in the making.

Walichoweza serekali ya CCM ni kimoja tu - cha kuwaachia mapolisi loose wafanye watakavyo dhidi ya Chadema. Hiki wamekiweza na ni kwa vile ndiyo pona pona yao (for now I must add).

Ila serekali hii sijui kama itafika 2025. Sijui.
 
Ni kukosa hoja, serikali haina hoja za kumjibu Askofu Gwajima, ndio maana wapo kimya. Tukiwauliza side effects za hiyo chanjo baada ya miaka mi5 ni zipi kwa atakaechomwa na kwa watoto atakaowazaa wanabaki kutoa macho kama panya aliyebanwa na mlango.
Wewe mbona unampeleka mtoto wako akachanjwe anapozaliwa zaidi ya chanjo 3.. umewahi uliza side effects za hizo chanjo? Na kwanini hujauliza mpaka leo? Au wewe ni miongoni mwa misukule wa Gwajima!?
 
Back
Top Bottom