#COVID19 Ukimya wa Serikali dhidi ya chokochoko za Askofu Gwajima, Je imempuuza? Inamuogopa? Anainamlia timing?

Nakubaliana na ww 100%
 
"Kuna namna ya kuwasilisha hoja na kuwasiliana na jamii.. Weledi, heshima, hekima na kuzingatia maadili ni mambo ya msingi sana kwenye lolote
Uwasilishaji hoja wake ni wa kusuta, kuzodoa na ubabe huku akiingiza mambo binafsi ya familia...hili unaona ni sawa?"

Mshana jr...hapa umechemka na kuonyesha how biased you are, kati ya Gwajima Mwanamke( Mbunge na waziri mwenye dhamana ya afya ya watanzania) na Gwajima askofu (mbunge wa kupewa).....nani kati ya hao anatakiwa kuwa na weledi, hekima na kuzingatia mambo ya msingi kwa lolote?

...naamini kabisa sasa,Mshana ameuza akaunti yake.
..au wamei-hack.
 
Gwajima hakua mjinga kukataa maiki
 
Yule alokuwa bingwa wa kujibu kwa sasa ana ganzi tangu atenguliwe kitengoni nae ni tia maji tia maji japo kapewa kiti maalum lakini yupo yupo anatamani nae ang'oke ili apate uhuru wa kuendeleza zile harakati zake za mwanzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...naamini kabisa sasa,Mshana ameuza akaunti yake.
..au wamei-hack.[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…