Ukimya wa Tanzania na JWTZ Kule Congo DRC si wa Kawaida – Kuna Kitu Kinachezwa?

Wakongwe wazoefu wengi wamestaafu hawa wapya wapya hawajapata uzoefu hata wa mlio wa rpg ndio maana natamani kiwake kidogo angalau wafunguke masikio
 
kwani kwenye misheni hizo za kulinda amani kila nchi inajiamulia yenyewe kupeleka walinda amani wake au kila nchi inatekeleza maazimio ya umoja wa mataifa?
 
Wakongwe wazoefu wengi wamestaafu hawa wapya wapya hawajapata uzoefu hata wa mlio wa rpg ndio maana natamani kiwake kidogo angalau wafunguke masikio
Tz imeanza kuwa kama DRC kukatakata mauno na mambo ya kipuuzi ya machawa ndo yanapewa uzito.

Hao wanaovamia nchi za wengine alafu wanaona member wa jumuiya wanashangaashangaa wataanza kuja na huku kujitwalia milki maana mzaha mzaha HUTUMBUA USAHA.

📌📌📌EAC na SADC ni sehemu za kujitoa hela za hivyo vikao kulipana posho bora kila nchi mwanachama akapeleka hizo hela KUJENGA MATUNDU YA CHOO KWENYE KAYA MASKINI NA MASHULENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…