Ukimya wa Waziri Mkuu Majaliwa katika sakata la Mkataba wa Bandari

Naona mmeanza kumgombanisha baada ya kukosa wa kuwasaidia
 
Tz ni ngumu Sana Sisi wachache hatujui hizi pande mbili Nani yupo sahihi kila upande Una hoja tatizo kubwa ni kila upande unatumia nguvu kubwa kuamini kwamba wao wapo sahihi zaidi na kwakuwa wanamlengo wao basi wameingiza suala hili kishabiki zaidi ili kuongeza kasi ya mvurugano!

Hofu isijekuwa kama kile kipindi cha kupinga kuingia kwenye ulimwengu wa Digital wapo waliokomaa tubakie kwenye analogue lkn muda ukaongea tukavuka salama pia Chanjo ya Corona,UJENZI Uwanja wa Mkapa NK.

Mimi natafakari Jambo moja tu hivi sasa mambo yanayofanyika bandarini ni mabaya zaidi kuliko hofu inatarajiwa labda kama tumeamua kujisahaurisha au kama ni wanufaika wa ubadhilifu uliokithiri ingawa natambua kwamba SUALA la MIKATABA lazima liendane na WELEDI na tuondokane na MIKATABA ya KIMANGUNGO WA MSOWELO.
 
Nn
Nani ana Imani na hili li waziria aamakuu liongo na halizungumzagi kitu serious hata siku moja ni siasa tu. Kumbuka pia anliingia bungeni kwa kumteka mpinzani na akapita bila kupingwa. Ingekuwa uingereza angejiuzulu zamani sana
 
Tanzania Rais ndiye Boss, ukijifanya mjuaji wanakuondolea Ulinzi
Wanafunga ACC
 
Spika hadi kapewa G5 5H-ONE imepeleke Morocco
 
Kwa Tanzania jambo likishaamuliwa na Rais,hakuna tena mwenye nguvu ya kulipinga
Sioni kama limefika mwisho, maana bado watu wanalizungumzia. Namna nzuri ni kuwa na mtataba rafiki
 
Yes ni kweli linazungumzika naamini tutafukia muhafaka tatizo wale wenye chuki za moyoni wanatumia nafasi hii kukoleza Moto.
Hoja siyo kuwakataa DP WORD bali ni mkataba uendane na win win situation.
Wengi Wetu ni bendera fuata upepo na kudhani wenye mawazo tofauti ni wajinga kuliko wao
 

Kwa mujjibu wa hukumu ya mahakama kuu.huyo sio mbunge.alijipisha bila kupingwa.ambayo inapingana na katiba.hivyo hawezi sema kitu chochote.hv unajua inatakiwa warudishe mpaka mishahara yote waliyolipwa?pia hata kama walichangia kitu chochote inabidi kifutwe pia
 

Kwa katiba yetu hana nguvu yoyote zaidi alichoambiwa na Rais kusema.
 
Umenikumbusha mtego wa panya ule wa kuweka kitu panya anapenda kula ule wakufyatuka na kupiga paa ukimnasa mmoja tu panya wengine hawali tena hata ukiweka nyama.Hata ule wa gundi kama panya ni mkubwa unatakiwa usicheze mbali lipanya likiwa likubwa litaondoka tu litakukuruka hadi liondoke. 'There are many ways to kill a rat'
 
Makamo wa Raisi umemsikia akisema lolote? Au kwa kuwa yeye si mvaa cobaz akinyamaza sio issue??

Makamo wa Raisi kwa taaluma yake na nafasi yake seeikalini alitakiwa amshauri vyema Raisi na kwa karibu mno katika hili. Pia atoke hadharani kutoa maelezo ya kina kwa wananchi.
 
Kwamba unataraji waziri mkuu atakuwa kinyume na msimamo wa serikali?
 
Mikataba iliyosainiwa huko Dubai ni 17 hajui ausemee upi aache upi
 

Attachments

  • CD1E4834-E1A5-43FA-B8C2-A94EEF94B228.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
Na yeye amepigwa butwaa, katika watu 60,000,000 waliopo nchini hakuna wanaoweza kuendesha bandari!?
 
alitamba sana enzi za jiwe sahizi ni kama ameloeshwa maji hana nguvu za kisiasa kabisa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…