Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Naona mmeanza kumgombanisha baada ya kukosa wa kuwasaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiitikio kimenikosha, Ama kweli #Samia ni Shetani#Majaliwa hakupanda ndege kwenda Dubai kutongozwa akatoa bandari yetu, msipoteze muda wenu kukwepesha lawama.
Samia ni Shetani.
Kimabavu tuu ila si kwa moyo ndio maana hajazungumziaHivi na mwana sheria mkuu, kaweka mkono wake kwenye hill
Nani ana Imani na hili li waziria aamakuu liongo na halizungumzagi kitu serious hata siku moja ni siasa tu. Kumbuka pia anliingia bungeni kwa kumteka mpinzani na akapita bila kupingwa. Ingekuwa uingereza angejiuzulu zamani sanaHabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Spika hadi kapewa G5 5H-ONE imepeleke MoroccoSidhani kama aliunga mkono. Sema ndio hivyo hauwezi kuipinga serikali ambayo wewe ni mmoja wa viongozi wake.
Aliyekuwa kwenye nafasi nzuri ya kufunga breki ni spika na bunge lake, lakini na wao pia akili zao ziko 2025, kila mmoja anataka kuwa kwenye good terms na her Majesty the Queen of Dubai.
Basi tena ndio ikawa hivyo. Huu mkataba tutalazimika kuuvunja na kuwalipa hao jamaa huko mbeleni.
Acha ujinga,
Basi wewe ni mpuuziWewe ndio mjinga
Sioni kama limefika mwisho, maana bado watu wanalizungumzia. Namna nzuri ni kuwa na mtataba rafikiKwa Tanzania jambo likishaamuliwa na Rais,hakuna tena mwenye nguvu ya kulipinga
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii ku
Kwa mujjibu wa hukumu ya mahakama kuu.huyo sio mbunge.alijipisha bila kupingwa.ambayo inapingana na katiba.hivyo hawezi sema kitu chochote.hv unajua inatakiwa warudishe mpaka mishahara yote waliyolipwa?pia hata kama walichangia kitu chochote inabidi kifutwe piaHabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kub hwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Umenikumbusha mtego wa panya ule wa kuweka kitu panya anapenda kula ule wakufyatuka na kupiga paa ukimnasa mmoja tu panya wengine hawali tena hata ukiweka nyama.Hata ule wa gundi kama panya ni mkubwa unatakiwa usicheze mbali lipanya likiwa likubwa litaondoka tu litakukuruka hadi liondoke. 'There are many ways to kill a rat'Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Mikataba iliyosainiwa huko Dubai ni 17 hajui ausemee upi aache upiHabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Na yeye amepigwa butwaa, katika watu 60,000,000 waliopo nchini hakuna wanaoweza kuendesha bandari!?Habari Wakuu!