kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo kinacholeta maswali Mengi juu ya dhamira ya kisiasa ya mweshimiwa huyo.
Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo kinacholeta maswali Mengi juu ya dhamira ya kisiasa ya mweshimiwa huyo.