Ukinasa Hunasuki, Ukigusa huachiiii...

Ukinasa Hunasuki, Ukigusa huachiiii...

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Kama ada yetu Wanamapenzi, Kila mtu hupenda Akipendacho lakini hapa sasa, Hata kama ni mgeni mwenye uzito gani huwa hapewi, kila mtu hupewa zawadi lkn hii katu haitolewi zawadi, Ukinasa wallah hunasuki, Ukigusa kamwe huachi, Ukichovya lazima ujenge hapo, Sio kama safari hii kiboko hata wa manane ukiitiwa lazima uifuate, haihitaji mapumziko kama kazi au masomo kila wakati huzingua wana adamu, kama ingekuwa inapandwa sidhani kama mwenye nguvu zake angelazimishwa kuipalilia, si zao lakini mwenye nalo akilitumia vilivyo huneemeka, haiwi used ili mradi itunzwe, dhahiri muonekano wake wa nje si sawa na wa ndani, kila mwenye utamani huitamani......IKO KAMA KAKA KUONA haina myoefu hii KITU....Nani kakutana nazo?
 
watu huleta bifu mingi kutokana na hii kitu, hata maraisi huishabikia, heheheheheh....
 
Haichachi wala haiwi kiporo
Kila atakae gusa ataisifia tamu,
Haina size kama kiatu kusema hii si saiz yangu!
 
hahahahah,hiyo kitu ni genuine bana,hata wendawazim wana-i-admire duh
 
YERo nyie nafumbia mimi eeenh!!! nasema hiyo ni NGOMOSI
 
wenye lugha yao wakija sijui mtaelezana nini.......ilikuwa ni lazima utumie hilo neno?...

nisaidie cweet heart kwani hiyo ngomosi ndio nini?

ukishindwa kuiweka jamvini niPM
 
nisaidie cweet heart kwani hiyo ngomosi ndio nini?

ukishindwa kuiweka jamvini niPM

ulipotea mpenzi....sijakuona toka mwaka uanze....mzima lakini.....Happy New Year
 
wenye lugha yao wakija sijui mtaelezana nini.......ilikuwa ni lazima utumie hilo neno?...

ah Preta ntatembelea YAEDA CHINI SOON!!! kuna mmasai alikuwa ananifundisha lugha yao, sasa akaniona na dada mmoja hivi mrembo tunasalimiana akaniuliza rafiki ulikuwa unaulisia NGOMOSI nini hahahahah SAMAHANI wamasai wote km nimewakwaza lkn ndo hali halisi hiyooo
 
ah Preta kuna mmasai alikuwa ananifundisha lugha yao, sasa akaniona na dada mmoja hivi mrembo tunasalimiana akaniuliza rafiki ulikuwa unaulisia NGOMOSI nini hahahahah SAMAHANI wamasai wote km nimewakwaza lkn ndo hali halisi hiyooo

Nlijua maana yake kwa lugha hiyo.
Lakin kama umetumia tafsida.
Au mwasemaji JF?
 
sifa murua toka kinywani mwa mwanaume! kuongezea ni kuwa imekuwa ikisifiwa sana kwa kutumia maneno bandia kwani pamoja na umaarufu wote ilionao, na kupendwa kote inakopendwa, na pesa zote inazolipwa, na sherehe zote inazofanyiwa, na ng'ombe, mbuzi, kuku nk wote inaochinjiwa, vinywaji vote inavyoteketezewa, lakini wote hugwaya kulitaja jina lake waziwazi! haha inapendwa, inagharimiwa lakini haitajwi jina, inaogopwa!
 
yaaani ni kama kiti cha basi ni sawa na daladala ya mbagala ukiinuka tu anakaaa mwingine tena kwa kugombania...............
 
Back
Top Bottom