Uking'ang'ania ndoa kabla ya kutembezeana Mikunyubenga hakikisha lango la Yerusalemu limefungwa

Uking'ang'ania ndoa kabla ya kutembezeana Mikunyubenga hakikisha lango la Yerusalemu limefungwa

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Je Wajua?

Number Plate(Plate Number) Kwa mujibu wa kiswahili fasaha huitwa KIBANA?

Chukua hiyo,huishi nayo!



Kabla ya ndoa mara nyingi wanaume wanataka kupima kama yaliyomo yamo,siyo mtu anaingia kwenye ndoa halafu anakuja kukuta YALIYOMO YAMO hamna bali Kuna YAMO YALIYOMO!

Haya mambo yamesababishwa na wanawake wenyewe Kwa kutokuwa waaminifu,ndiyo maana kabla ya ndoa wanaume wengi wanataka kupima kwanza kina Cha maji kama kitawezakana kuchumpika!

Hivyo basi niwaombe dada zangu,hakikisha unapo ing'ang'ania ndoa hilo lango la Yerusalemu liwe limefungwa,siyo unakomaa halafu mwisho wa siku mnaingia kwenye ndoa,jamaa anakuta lango la Yerusalemu liko wazi kila mtu alikuwa akiingia na kutoka!
 
Lango la Yerusalemu.Akidai kwamba wageni wote walilipa tozo ili kufidia uchakavu wa vitasa,napo atakuwa kakosea?Au ule usemi wa bucha zote lakini kitoweo hufanana,utakufa siku hiyohiyo?
 
Back
Top Bottom