#COVID19 Ukiniambia kwanini napinga ripoti ya Tume ya CORONA, majibu yangu ni mepesi kabisa

Unge mwa acknowledge mwenye andiko. Inakuwa vyema zaidi.nlilisoma kwenye group moja kabla halijatumwa humu. Jina la mwandishi lililnitoka.

Unajua maana ya ku acknowledge? Au unadhani Copy and Paste ndo ume acknowldge?


Unajua maana ya C & P?
 
Umetoa angalizo na uchambuzi murua kabisa
 
Ukitazama kwa jicho la tatu hii tume ina hiden Agenda.
Hebu tupia hiyo taswira uliyoichora kwa hilo jicho la tatu, ila mi nafikiri lililo kuu juu ya taarifa hii ni kujiosha mbele ya wazungu.................................kifo cha mwenda zake kina mengi
 
Tatizo linaanza hapa "wizara ya afya stakeholders ni foreigner countries ndo wanatoa hela nyingi zaid ya serekali" hatuwezi kuwa huru kifikra au kimawazo kama bado wategemezi kwa mambo ya afya zetu wenyewe. Hatuna mtu wa kumlaumu zaidi yetu wenyewe hamna cha msomi wala stnd 7 wote tumefeli.
 
Umejibu sahii afrika itakua huru kama itakua huru kiuchumi (financial freedom)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…