That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Hakika.Watu wa hip hop watamjibu bila hata ya yeye kujielewa kama amejibiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika.Watu wa hip hop watamjibu bila hata ya yeye kujielewa kama amejibiwa
Ngoma mpya ya young killer aliyomchana johHata sielewi mnajadil nn hapa!. Naomba unieleweshe please
Akili yangu naijua peke yangu kama hauwezi ku-argue for or against utakua umepotea kabisaBattles are healthy for Rap game.
Kuna watu wanapiga kelele ati Young killer kazingua..
Hamjui hip hop culture.
Akili yangu naijua peke yangu kama hauwezi ku-argue for or against utakua umepotea kabisa
hiphop culture ndio nn?
Nan aliweka principles kuwa hii inatakiwa kuwa hii na hii kuwa hivi?
Nan alikudangany kuwa kuna mtu anayewez kuwapangia mashabiki mziki wa kusikiliza kitu fulan na siyo wanachopenda?
Hii dunia ina uhuru wa kufanya unachotaka ilimradi tu usivunje sheria
BADILIKA THINK POSITIVE
nacheka kwa dharau langu simple-GodzillaMbona unapiga may owe Boss? Hebu tulia upangilie hoja zako ueleweke vizuri.
Naona jiwe langu limekupata sawasawa
Lile lijamaa ligenius la michano.Angejalibu kumdis nikki mbishi ndio angejua