Ukinijibu wewe ni demu wangu,ukiniacha unaniogopa

Ukinijibu wewe ni demu wangu,ukiniacha unaniogopa

Kwahiyo ni kweli mtu uogope kumjibu kisa kasema ukimjibu demu wake ........??
 
Kutaja majina ni kitu cha kawaida sana kwenye nyimbo za hip hop... Ukiachana na MCs wa zamani, recently tu hapa kwenye Fire Squad J.Cole kadrop names za wasanii kibao weupe akielezea jinsi walivyobebwa dhidi ya wasanii weusi kwenye game. Kendrick Lamar kwenye 'control' kafanya kitu hichohicho. Majuzi tu Jermaine Cole katupa tena bomb linaitwa 'false prophets' ambalo halutaja jina ila aliwagusa directly Kanye na Wale.
So, sioni sababu za watu kutaka kufanya ishu ya Young killer kuwa kama ni too strange and immoral.
 
Battles are healthy for Rap game.

Kuna watu wanapiga kelele ati Young killer kazingua..
Hamjui hip hop culture.
Akili yangu naijua peke yangu kama hauwezi ku-argue for or against utakua umepotea kabisa
hiphop culture ndio nn?
Nan aliweka principles kuwa hii inatakiwa kuwa hii na hii kuwa hivi?
Nan alikudangany kuwa kuna mtu anayewez kuwapangia mashabiki mziki wa kusikiliza kitu fulan na siyo wanachopenda?

Hii dunia ina uhuru wa kufanya unachotaka ilimradi tu usivunje sheria

BADILIKA THINK POSITIVE
 
Mbona unapiga may owe Boss? Hebu tulia upangilie hoja zako ueleweke vizuri.
Naona jiwe langu limekupata sawasawa

Back
Top Bottom