Ukininyima nakununia mwaka mzima

Ukininyima nakununia mwaka mzima

Wadau imekua jadi yangu sasa kupokea walimu wa field na baada ya muda lazima niombe mzigo.

Sasa juzi kuna demu kanikomesha, alipofika tu kituoni nikaomba namba zake za simu, nikaanza kushoboka nae hata darasani nikawa siingii kufundisha madogo mada ya "Sarufi na uchanganuzi wa sentensi". Basi nikampeleka lunch akala akashiba, nikamlipia chumba kodi ya miezi mitatu kwa kipindi chote atakachokuwa hapa shuleni!

The last month. nikaomba show kwa mtoto mzuri. Cha ajabu nimeambulia matusi na kejeli za nguoni eti mimi ni
mshamba, mvaa mitumba na ndio maana nina matege.

Aiseeh, niliumia sana kwa kebehi hizi. ikafika hatua nikawa namkwepa pale shuleni nisionane nae.

Sasa juzi kanitafuta hewani, eti bebi pole na kufungwa na Yanga goli tano🙄. nikala buyu.

Jana kanipigia simu nikawa sipokei, leo pia kanitumia ujumbe mrefu eti ooh walimu wa kiswahili mmejaa gubu.
Mkuu wewe ndiye yule ambaye mkeo alikumbilia Dodoma?
 
Huyo muongo muongo si unajua story za jf 98% ni fiction? Huyu hata uandishi wake hajui mke ni nini …kwanza story za jf unatakiwa usizichukulie serious sana chai nyingi
Amefanya wanawake wapondwe mawe kwenye ule uzi wake. Kumbe kajitungia pambav kabisa
 
Back
Top Bottom