Ukinitibua Nami Nakutibua

Ukinitibua Nami Nakutibua

W. End! Beach! Gari! Usd 2000!
Mama KIBENA naomba niongeze tende!

Hahahahahaa sio masihara atii, bora uhamie kwenye halua tende hazitokupa burudiko kama halua
 
Nataka kuhama jf maana kila mtu ana gari, wanajf wote wanaishi mikocheni,masaki,osterbey! kumbe sisi choka mbaya hatustahili kuwa jf.

Karibu, but this is my real life, and this is how Kasinde is living ukiniiga unaweza kupasuka msamba, pia usijaribu kuiga life ya huku utakuwa na sawa na anayemuiga tembo kupuu
 
gari yako itaumia zaidi..ila ukitaka kumkomoa mbinu zipo mingi mbona

simgongi na gari yangu namvizia na greda, nina hela ya kuhonga greda imgonge kisha najiwahisha polisi
 
Duh...dharau zake nzuri za kurusha hela,inaelekea ungemtibua sana na gari angekuachia.... Nimempenda buree!

hahahahaaa nzuri tena, try with this Nyani Ngabu he says he was the dude....................!!!
 
Last edited by a moderator:
ukishamtibua , kinachofuata ndiyo kuliwa sasa.........

halafu unaonekana utakuwa mtamu sana wewe bibie..............

Mie siliwi kirahisi best ila ni mkorofi sana, sasa hizo habari za utamu zinakujaje hapa, unataka this week end anigonge tena na this tyme badala ya kunirushia dola anajirusha yeye mwenyewe...........
 
Mie siliwi kirahisi best ila ni mkorofi sana, sasa hizo habari za utamu zinakujaje hapa, unataka this week end anigonge tena na this tyme badala ya kunirushia dola anajirusha yeye mwenyewe...........

ndiyo maanake , mpaka jamaa ameamua kukugonga na kukupiga na madolari si lazima utakuwa mashaalah..........
 
Back
Top Bottom