Ukinitongoza tu lazima unioe

Kwani siku hizi wanawake bado mnatongozwa? Mbona mi naona mnajitongozesha?
 
Nilimuona mtoto mkali * vijana wanamwita pisi kali.
Nikaona nimtole mahari * awe wangu mwari
Kumuweka ndani ana* maneno makali na akili ya kachumbari.
Pilipili ya mpemba * Muuza chipsi kona daraja la salenda.
IGP Leta kijana wako * aniweke sero nimechoshwa na kero.
Trakoo chini trakoo juu * akili yangu ilikuwa na maji ya upako.
Maji ya upako wa bia * muulizeni mlevi mwenzangu super konki atawaambia.
 
Hakuna mbususu yaani ukithubutu tu tayari, uite ambulance ya uokozi๐Ÿคฃ
Kwamba atangaze ndoa kabla ya kuichakata? Kwa kizazi hiki sahau hilo..lazima kitu kiliwe kwanza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ