Ukinitongoza tu lazima unioe

Ukinitongoza tu lazima unioe

Kwani siku hizi wanawake bado mnatongozwa? Mbona mi naona mnajitongozesha?
 
Nilimuona mtoto mkali * vijana wanamwita pisi kali.
Nikaona nimtole mahari * awe wangu mwari
Kumuweka ndani ana* maneno makali na akili ya kachumbari.
Pilipili ya mpemba * Muuza chipsi kona daraja la salenda.
IGP Leta kijana wako * aniweke sero nimechoshwa na kero.
Trakoo chini trakoo juu * akili yangu ilikuwa na maji ya upako.
Maji ya upako wa bia * muulizeni mlevi mwenzangu super konki atawaambia.
 
Back
Top Bottom