Ukiniwekea Simba na Ngogwe nitachagua Ngogwe (Nyanya chungu)

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wanamichezo,

Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa

Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa

Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena

Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?

Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?

Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list

Sawadogo alifuata nini Msimbazi?

Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe

Wabillah Tawfiq.
 
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Utakuwa umechagua.Nani atakukataza?
 
Habarini Wanamichezo,

Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa

Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa

Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena

Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?

Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?

Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list

Sawadogo alifuata nini Msimbazi?

Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe

Wabillah Tawfiq.
Mashabiki ni watu wasahaurifu sana, mara hii mmeshasahau kuwa ni Simba hii hii mmekuwa mkijitambia mitaani kwa miaka kadhaa?
 
Wakumuita Nani yule aliefunga goli la Pili yule alieingia sub anaitwa Nani yule mchezaji wa Azam ?

Kalimangonga Ongala NISAIDIE anaitwa Nani yule alieshindilia bao la maumivu na viuno juu miguno km yote
 
Habarini Wanamichezo,

Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa

Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa

Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena

Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?

Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?

Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list

Sawadogo alifuata nini Msimbazi?

Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe

Wabillah Tawfiq.
we utakua ndugu yangu hata kwetu gongwe ni Bora kuliko Simba. we utakua wa morogoro
 
Kiukweli leo ndo tumemaliza msimu, inaumiza sana lakini hatuna namna, timu inahitaji reform ya hali ya juu sana, wachezaji wengi ni mizigo hakuna kucheka na kima, ondo wote wasio na tija, sajili potential ones. Tukutane super league.
 
Back
Top Bottom