Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Habarini Wanamichezo,
Mimi ni Mshabiki wa Simba Damu, lakini kwa mahali ilipofikia timu yetu inakera, inachosha na inaboa
Nimekuwa nasafiri kwasababu ya kuishabikia Simba popote iendapo lakini kwasasa nimekata tamaa
Sio Bosi wa timu, benchi la Ufundi, Wachezaji n.k hawana mambo mapya tena
Kweli leo Chama anacheza kama Mtoto? Okay let's say alitumika sana kwenye michezo iliyopita, je kocha hakujua hilo amuanzishe Sakho au Phiri?
Mwaka unaisha hatuna kombe lolote, ukija kwa Mo Dewji alituahidi Bil 20, kama sio kujenga/ kuboresha uwanja si ingenunua wachezaji wa kutosha?
Ulishaona wapi timu inawaondoa wachezaji kumi au zaidi? Walikuwa wanafanya nini? Bodi ya Usajili iliwasajili wanini? Halafu eti Boko na Onyango hawapo kwenye list
Sawadogo alifuata nini Msimbazi?
Niwekee Nyanya Chungu (Ngogwe) na Simba ya sasa nitachukua Ngogwe
Wabillah Tawfiq.