Hebu niambie wale wanaobakwa?? Je wamejishikisha hizo Mimba? na unashauri achukue uamuzi gani? aue mtoto asiye na hatia au aache mtoto akue akijua yeye ni mtoto wa mbakaji??
Hii issue ni ngumu sana ndugu yangu, huwezi kuhukumu kwa akili yako ya kibinadamu... Muombe Mungu akusaidie sana katika hili, una watoto pia na kama huna utakuja kuwa nao... Do u want to tell me u are that saint?? Before you point your fingers on anyone, make sure that your hands are clean...
Huyu aliyetajwa kwenye mwanzo wa hii thread alibakwa? Sijawahi kuona wala kumsikia mbakaji anayerudi kudai mwanae! Habari za kubakwa ni exceptions, hazihusiki hata kidogo na mjadala huu. Mimi napinga mnaodai ni haki yenu kuzaa bila kujali haki ya mtoto kulelewa na baba na mama katika mazingira ya staha.