Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa kuvamia wana ndoa. Huwa mambo hayakai kueleweka hata kidogo. Mama azae mtoto mwingine tu
huo ni unyama unaofaa kukemewa
Mmmmm, pole yake huyu dada, jamani mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu huyu baba anampeleka wapi?? Anyway hebu ngoja nisubiri maoni ya watu wengine kwanza.
Manake kama neema ya Mungu haijakushika, unaweza ukajikuta unaua mwanaume wa style hii kabisaa.
huyu Dr. ni mwenda wazimu.....kwani anafikiri Mama atakaa na mtoto hadi lini?? Ningekuwa mimi wala sijui ningefanyaje pamoja na kuwa sheria na haki zote nilikuwa ninazifahamu fika (inauma jamani asikwambie mtu) Nakumbuka kuna siku junior wangu alikuja chukuliwa .............tena mbele yangu si in my absence...nilichanganyikiwaje...hata hizo sheria sikuzikumbuka) acheni kabisa bana........... yaani mara kumi na ngapi sijui achukuliwe akiwa ashakuwa na akili yake lakini mwaka mmoja na kitu ...........acha kabisa
mimi nakumbuka T-shirt niliivalia chini kwenye ngazi....hapo ni saa nne usiku hata sijui nlikuwa naelekea wapi, ah acha kabisa bwana.
Yani kaniudhi kweli!Tatizo wanaume wanadhani mapenzi yao kwa watoto ni sawa na aliyonayo mama!Hamna comparison aisee...huyo anastahili kipigo cha mbwa mwizi!
MJ1 pole mpendwa!Yani siwezi kuimagine!Mtu unaweza kujikuta unaua hivi hivi majuto baadae akili ikikaa sawa!
Uwiiiii, natamani tufanye maandamano tukamkomboe huyo mtoto, na huyo baba tumtundike juu ya mti ka yule HAMANI kwene kitabu cha Esta kwene biblia.
Kumbe ana chromosome za Y sasa kwa nini ameshindwa kupanda mbegu hiyo kwa mkewe wa ndoa na zaidi yeye ni Dr. wa medicine?
Kwa nini unahisi kuwa mdada ndo alivamia ndoa?? Inawezekana mwanaume hakumwambia kama alikuwa na mke mpaka alipopata ujauzito ndo akamtema pending result ya sex ya mtoto.... Halafu hata akizaa atazaa na nani jamani, yaani hata kabda kidonda cha mwanzo hakijapona? Aisee... Men..... They always stick together....
Mzazi yeyote angefanya hivyo...
Ni kweli
Hahahaaaaaaaa.... Dada umenifurahisha....
Kitu ambacho wababa hawajui ni kwamba we share our blood, our hearts our life with our little kids, they are part of us ambayo ukiitoa we get affected sana..... imagine nine months, then muda wote wa kunyonyesha, ndio maana mtoto akianguka unasikia uchungu wa kuzaa...
Mtoto wangu alipotea kanisani once.... nilivua viatu nikatoa watu kanisani kabla misa haijaisha kwenda kutafuta mtoto... kwa mwanaume hawezi jua feelings za ku-loose contact na mtoto na hujui alipo, anakula nini, anafanya nini.... we acha kabisa
Haiwezi kuwa kabisa.... the feeling is unique
Kwa kweli
Luckily, alikuwepo hosp admin na baadhi ya doctors, wakamlazimisha akampe huyo mama mtoto wake... I hope alimpa. Nitarudi kumuuliza yule Dr kama yule mama alipewa mtoto wake
Ni Dr wa medicine, lakini kwa roho yake alitakiwa kuwa Dr wa miti
Duuh nilikuwa napima presha...wanawake wote wangekuwa hivyo tungezaa sana na kuijaza Dunia. Tatizo wengine hata hujawazalisha wanakuja kukubwagia watoto. Eeeh nani anataka presha
Mkuu, hata kama walikubaliani kitu gani, haiwezekani mama huyo abebe mimba miezi tisa, akubali kumzaa huyo mtoto, akubali kumlea peke yake hadi hapo ambapo anasema sasa afadhali nakaona kanatembea, halafu aje jambazi kumuiba kisa baba ake?? Noooo kama pana amani hapa kwa nn amwibe mtoto??? Unadhani anampenda huyu mtoto huyu kumtenga na mama ake. Nahisi ujinga na upumbavu ndo unamtuma afanye hivo.
Halafu watu wakitoa mimba mnawalaumu kwa kiburi kabisa. Ni kwa sababu ya mambo kama haya pia.
MJ1 Tatizo hawa watu wanadhani ile methali ya uchungu wa mwana ni maneno tu!Kuna zaidi ya ukweli ndani yake!Yani mtu akitaka kunikomoa mimi sio aninyime chakula wala pa kulala..naweza kulala kwa jirani ila mtoto hapana aisee!
Yaani tangu nimeingia hapa inaonyesha wachangia mada wote wanasumu ndani ya mioyo yao kwa wanaume je umejiuliza kua kesho yakikupata utafanyeje?je huyo ulie nae amekuoa au ndo vle mwisho wa cku anakuja kumwiba handsome/beautiful wako?ooh sory kweli akiwa ke hana shida nae c ndio.
Nawasilisha hoja.
Kiukweli hapa mimi,wewe na yule ha2wezi kujua makubaliano ya hawa w2.wote ni wazazi iliwapasa wakae chni wajadili jinsi ya kumlea mtoto 7bu ya kumuiba cjaiona kwani mtoto ni wako 2 hata kma atalelewa na mama.But mama nae why acngemsubli sehemu nyingne amfate ofcn?Upande wangu wote wajinga kuku wako mwenyewe manati ya nini?
Na kwanini alelewe na mama mwingine kama mama yake yupo??
Kokudo, haiingii akilini hata kidogo, mtoto nikubali kumzaa mwenyewe halafu akalelewe na mama mwingine wakati mimi nipo hai na ninaweza kumlea.
It depends LD......kuna wanawake wangine hawana uwezo wa kuwa mama.....
Katika kesi hii nadhani huyu jamaa alimtumia tu huyo dada kupata akipendacho....and he used a very wrong approach...
BTW: Hivi watu wa ustawi wa jamii bado wanapatikana?
Yaani wamama leo mmenifurahishaje? MJ1 nimecheka mpaka basi yaani nimeanza asubuhi vizuri eti skinjinz ilikua inakupwaya lol jamii forums ni kiboko. Mimi yaani nashindwa hata cha kuchangia kwanza huyo sijui babake mtoto yaani sijui atatoa wapi uthubutu wa kuja ninyang'anya mrembo wangu huyo mama big up zake kwa sana baba mshenzi sana huyo, kudadadeki zake yaaani nikandwe maji ya bure, maziwa yawe lapa bure achilia mbali kitambi, tisa kumi ule uchunguuuuuuuuuuuuu yaani nimemtamani huyo dk. Ngoja tu niishie hapa nna hasira!!!!
Jamani LD,LIZZY,MATY angalie bwana mi nadhni huyu jamaa alimpata huyu dada kule kwenye 1000 au 1500 na km ujuavyo wbongo kondom kwe2 mwiko wakajkuta wamepata goli bila kutegemea ss coz yle mdada duu ile ndo kaz yake mtoto anakua hapati malez bora ndo maana dr akaona amchakachue.naungana na ST. RR sio wote waliozaa wanajua kulea wengi 2mewaona wakishazaa watoto wanapelekwa kwa nyanya zao kijijini wao wanaludi kutafuta mimba nyingne mtoa hoja angepata nafac ya kumuuliza yule dada anajishughulisha na nini?tatizo wanawake wa Dar kiswahli kireeeeefu.mm cmooo
Halafu hii tabia ya kusema eti nataka mtoto wa kiume sijui inakuwa ni kitu gani mtoto wa kiume ana nini cha ajabu ambacho mtoto wa kike hana??? Huyo dakitari feki huyoooo ana bahati sana hakunipata mimi ningemnyongelea mbali mshenzi sana halafu nahisi kama si dakitari ni wale RMA maana angekuwa dakitari wa ukweli asingekuwa na ujinga kama huu ameniudhi mimi!!!
Kweli kabisa angesubiri mtoto akue amtafute baba ake
Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.
Wanaume wengine hawasemi wameoa pengine ndo alisema hivyo.
Kukemewa kwa kutaka kuua??
Hasira unazijua wewe?? Tena hasira zenyewe za wodi ya wazazi???
acha mchezo kabisa mtoto akilia unashituka kama roho inataka kutoka halafu wewe!!!
Naomba kuuliza "Mada ya Leo" ni ipi hasa?
Kugombania "Mtoto wa Nje" au "Kugombania Mtoto wa Nje wa Kiume"?
Naomba ufafanuzi please!!
Akina Mama acheni tabia ya "kuingia mitini" na "watoto wetu wa Kiume"!
uchungu mnaujua nyinyi tu akina mama,
sisi akina baba hapana,
au sisi sio wazazi jamani?
Possibly kuna untold story, Walizungumza nini before hawajazaa? Wenda walikubaliana azae and achukue mtoto who knows? and why fighting over mtoto, s/he grows up and find hs/hr mother/dad.......................kama ni mimi sihangaiki................bt will make sure na mvisit and necesary care inapatikana.........
mtoto siri ya mama
Kumbe ana chromosome za Y sasa kwa nini ameshindwa kupanda mbegu hiyo kwa mkewe wa ndoa na zaidi yeye ni Dr. wa medicine?
Nimeshasema tena wazazi wangu wamenizaa kwa heshima ya kibinadamu katika ndoa. Wanaozaa ki-mbwa ni hao wanaozaliana bila utaratibu nje ya ndoa au bila ndoa, inakuwa ni sawa tu na mbwa koko wanapokutana majalalani. Ndio maana hata hao watoto wao wananyanyapaliwa na kuitwa bastards (wanaharamu)! Kwa hiyo kama unashabikia uzazi wa mtindo huu wa mbwa-koko natumaini unajielewa mwenyewe uko kundi gani.
Ni kweli usemayo Mtu B.lakini omba MUNGU akusaidie ....una watoto angalia usijechapwa kofi na MUNGU.
Mimi ninachokuomba punguza ukali wa maneno yako, humu JF tuko wengi na wengine ni hao mabastards unaowasema and trust me.....it pains kwa sababu mtoto kama mtoto hajichagui kuzaliwa bastard............... na huyo mama mbuzi au mbwa kama unavyowaita!!
Ndio uelewe watoto hawapendi kuzaliwa katika mazingira kama ya mbwa-koko, utulie uolewe uzae wanao katika familia yako na mumeo kwenye ndoa. Mnawakosea sana haki watoto mnapowazaa na kujikuta wanaishi kama mbwa-koko, baba hajulikani eti hadi mtoto akapige simu Radio Free Africa na kujieleza maelezo mareeefu ya kumtafuta baba yake, kisa tu mamake kamficha au hata hamjui! Aibu jamani kinamama, aibu sana!
No matter what? you can not take a 1yr baby from his mother and hide him. :frusty::frusty::frusty::frusty:
Elia................. wish I could say something on this but I cant.............it pains alot........................cant say anything nabakia tu kusema,,,,,I wish I wish
una uamuzi wako ndiyo, lakini uhuru wako na haki yako haipasi kuingilia haki ya mwingine. Una haki ya kuzaa kama mbwa koko wanaokutana jalalani kama hujali, lakini mtoto naye ana haki ya kuzaliwa katika mazingira ya staha. Kama wewe hutaki kujitunzia heshima, hilo ni juu yako, lakini unapoamua kuwa hata mtoto naye akose heshima hapo unamkosea haki sana.
Nimepigia mstari hapo, ni kweli inauma sana, ndio maana nawaomba mama zetu mtufikirie, wafikirieni watoto wenu kabla hamjaamua kuzaa kwa mtindo huo. Mtoto hana kosa lolote, anajikuta katika mateso ya kihisia kutokana na uamuzi mbaya wa mamake aliyeamua kuwa ana haki ya kuwa na mtoto kama wanawake wengine, bila kuifikiria haki ya mtoto.
Darlingtone pole duh hiyo ya kutoa watu misa haijaisha imenibidi tu nicheke.......samahani.
Ah we bwana we acha kabisa......Lakini ninamshukuru MUNGU kwangu baba mtu alikuja kuelewa na sasa hivi akitaka kumwone anaomba na kumrudisha mapema kwa adabu.
Una uhakika gani kama huyo ni Baba yako??? Labda aliweka kucha tu na masikio... usiwatukane wanawake, maana utakuwa unamtukana hata mama yako ambaye hujui alikutoa wapi....:eyeroll1:
Maty mama, huyu bwana mdogo achana nae tu, hajui kiburi sio uungwana, hajui dunia hadaa, hajui huyu jamani. Mcheka kovu hufikiwa na jereha. Kiburi cha uzima hiki sio kizuri. Bora kunyamaza, bora kuwaombea hao unawaita Mbwa, bora bora, hatujui kesho yetu iko je?? Barikiwa baba angu.
CRAPESTSLOMOVICK.... Dawa ya Mjinga ni kumnyamazia....:eyeroll1:
Kumbuka Maneno yanaumba....
Mtoto ni mtoto, hakuna mtoto mbwa koko wala mbwa wa mzungu.... kwani katika kaburi lake wanaandika MBWA KOKO??
Sure...
Easy now.... ah ah.... but don't under estimate the stupidity of an idiot... he want to drag you to his level...
Seems like a brother has a story to tell here.... so bitter...:A S 39:
Situkani wanawake, nasema tu kuwa mnapotaka kuzaa watoto muwafikirie kwanza kabla hamjachukua hizo mimba mnazochukua kwa wanaume ambao hamna mpango nao wa maana, kwa sababu mwisho wa yote anayekuja kuathirika ni mtoto, na wewe mama unakuwa ndiye uliyemsababishia yote haya.
Watu wengine kichefuchefu tu, huwezi jua kama halijakufika, na mungu wetu alivyo wa ajabu linaweza listokee kwake likatokea kwa dadaake wa damu ndo atajua anacho ropoka kinamaanisha nini.
Una uhakika gani kama huyo ni Baba yako??? Labda aliweka kucha tu na masikio... usiwatukane wanawake, maana utakuwa unamtukana hata mama yako ambaye hujui alikutoa wapi....:eyeroll1: