Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.