bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
[/U][/B]Yaani acha kabisa mi wangu tena kabinti kakubwa tu siku moja kakatoka huko nnje mbio na mayowe makali, nilistuka jamani nikasema kapatwa na nini yaani moyo wote ulikua unahama kumbe alikua anajifanyisha ili aone nitafanyaje ila nilishtuka kuliko maelezo, ije kua huyo wa mwaka mmoja? we acha kabisa uchungu wa mwana
uchungu mnaujua nyinyi tu akina mama,
sisi akina baba hapana,
au sisi sio wazazi jamani?