Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
Hicho kikojoleo chake ndio kilichomfanya amlaghai dada wa watu na kumzalisha kisha amuibie mtoto, sasa kikiondolewa sio tu atashika adabu bali pia itamsaidia asitoke tena nje ya ndoa yake.Punguza jazba maty mwenzio atakojolea wapi?ok anahtaji maombez ya week1
huyu mama alietaka kuua,
alipaswa kukemewa kabisa!!!!
unajua labda kwakuwa haijatolewa sababu ya msingi ya kwanini dr. aliamua kumchukua mtoto,
yawezekana, malezi ya huyu mtoto kwa yule mama yalikuwa na kasoro fulani,
Achilia mbali kuwa huyo ndo alikuwa mtoto wa kiume pekee kwa dr.
Angeenda kushtaki, huyo mama angechunguzwa na kama kweli hampi mtoto matuzo mazuri angenyang'anywa na baba angepewa mtoto kiulaini tu. Why aende kumuiba wakati mama hayupo?