Na nyie muachage kuzaa kama mbuzi. Hebu muolewe muzae na waume zenu muone kama kuna atakayewasumbua. Mnayatafuta wenyewe haya matatizo.
Kuna wengine hawana uwezo wa kulea 2my (btw, nisaidie utwamkwaji wa ID yako).........kuwa mama ni zaidi ya kuzaa!
Halafu wewe!!! Tulia kabisa nani unayemwita mbuzi?? Huna mama, dada., shangazi wewe unaweza kuwaita mbuzi??? Kuwa na heshima na adabu
Kweli kabisa angesubiri mtoto akue amtafute baba ake
St.RR hiyo ID inatamkwa vyovyote upendavyo.....
Ok naanza kukuita vyovyote nipendavyo...:smile-big:.....najiribu kutafuta jina lako....
Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.
azae mtoto mwingine tu?we unadhani mtoto anaweza kua replaced??binafsi niko upande wa huyo mama...huyo mzee mshenzi kweli!
kwanza mbona alichelewa,angemalkizia kutenganisha kichwa na kiwiliwili chake.
Kichwani...where else vyovyote?
Nikukamata wewe kutuita sie mbuzi????
Mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.
huyo babako na mamako ndo wamekufundisha maadili ya kuita wakubwa zako mbuzi
mimi ninaye mama na amenizaa kwa heshima kubwa kabisa wakiwa na baba yangu katika ndoa takatifu, nawapenda sana wazazi wangu. Na nimeshuhudia watoto waliozaliwa kwa mtindo unaofanana na ule wa mbuzi aliyekutana na beberu machungani, watoto hao hawaipendi hata kidogo hali hiyo na inawanyanyapaa sana. Ndicho ninacholaani, tabia ya wanawake kujizalisha hovyo tu kama mbuzi machungani, kwa nini msitulie mkaolewa kwanza ndipo mzae? Mnawakosea sana haki hao watoto mnaowazaa hovyo katika hayo mazingira ya utovu wa maadili. Wanawake badilikeni.
Jamani LD,LIZZY,MATY angalie bwana mi nadhni huyu jamaa alimpata huyu dada kule kwenye 1000 au 1500 na km ujuavyo wbongo kondom kwe2 mwiko wakajkuta wamepata goli bila kutegemea ss coz yle mdada duu ile ndo kaz yake mtoto anakua hapati malez bora ndo maana dr akaona amchakachue.naungana na ST. RR sio wote waliozaa wanajua kulea wengi 2mewaona wakishazaa watoto wanapelekwa kwa nyanya zao kijijini wao wanaludi kutafuta mimba nyingne mtoa hoja angepata nafac ya kumuuliza yule dada anajishughulisha na nini?tatizo wanawake wa Dar kiswahli kireeeeefu.mm cmooo
na mtoto angekosa wazazi wote...kwanza baba kufa...then mama kufungwa.....hii mbaya zaidi!
si bora hata nimesema mbuzi? Ningewaita mbwa kabisa ndiyo ingeendana vizuri na hiyo tabia ya kuzaa tu alimradi umezaa, kwa nini msisubiri kuolewa mzae katika ndoa zenu? Kama unaweza hebu jaribu kutafiti kidogo watoto waliozaliwa nje ya ndoa waulize wanavyojisikia, nakuhakikishia wanachukia sana hali hiyo maana inawanyanyapaa. Wanawake badilikeni muwape heshima watoto wenu.
inaonekana unauchungu sana baada ya wazazi wako mbwa kukuzaa wewe mbwa pole sana mbwa