Ukioa au kuolewa hupaswi kulala na nguo za ndani?

majam19

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2024
Posts
1,734
Reaction score
2,023
Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
 
Inategemea... Kuna wakati mmoja anatoa nguo zote kisha baada ya muda huzivaa akilia, kuna wakati nyote mnatoa na kuna wakati mmoja analala na kisu au panga huku kajifunika gubigubi 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…