😆, hahahaha 🤣kiukweli sijui maana sijaoa wala kuolewa ila nikifanya kimoja wapo nitarudi kutoa majibu
Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
Kuna Sisi wengine tunalala vyumba tofauti, anayetaka anawita mwenzie. Sasa suala la kulala bila nguo ni uamuzi wako.Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
NDIO UTARATIBU, MTENGEE MUDA WOWOTE AICHAPEHivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao

Katika kuukalia usiku kucha ausio!
🙆🤭Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
Maneno ya waswahili wapenda ngono za kubakana hayo..😂Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake
Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia
Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
Habari yako mahondaw ??Katika kuukalia usiku kucha ausio!