Ukioa au kuolewa hupaswi kulala na nguo za ndani?


Mimi mtu akiuliza nitamjibu hayo ni maisha binafsi ya mtu/watu
KWANI KUNA FACTOR NYINGI ZINATAKIWA ZIWE CONSTANT NDIYO HAYO YAWEZE KUFANYIKA
 
Kuna Sisi wengine tunalala vyumba tofauti, anayetaka anawita mwenzie. Sasa suala la kulala bila nguo ni uamuzi wako.
 
NDIO UTARATIBU, MTENGEE MUDA WOWOTE AICHAPE
 
Pichaaa..weka..hapa.!.Ukiwa umelala na nguo na nyingine ukiwa hujalala na nguo,ndiyo itakuwa rahisi kuchangia maada..!
 
πŸ™†πŸ€­
 
Maneno ya waswahili wapenda ngono za kubakana hayo..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…