Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Nilihapa
Hivi wewe si mwanamke??? Unaapaje kutokuoa?? Kaa tulia upate bwana akuoe. Au wanaume wamekua bidhaa adimu??Nilihapa sitakuja kuoa Mchaga
Nilihapa
Hivi wewe si mwanamke??? Unaapaje kutokuoa?? Kaa tulia upate bwana akuoe. Au wanaume wamekua bidhaa adimu??Nilihapa sitakuja kuoa Mchaga
Dah hamtuachi tu ama kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa maweMwanaume ukioa Moshi/Kilimanjaro unakua tu ni sawa umeolewa maana kila mwisho wa mwaka wakwe na mashemeji wanaporudi kwao kwa ajili ya sikukuu na wewe utakua unalazimishwa kwenda.
Nina ndugu zangu 4 wameoa kilomanjaro, wafanyakazi wenzangu na marafiki zangu na watu wengine naowafahamu ambao sio wenyeji wa kilimanjaro ila kila inapofika mwisho wa mwaka lazima waende huko, hata pascal mayala amesema yeye kila mwisho wa mwaka huenda moshi wakati ni msukuma wa kanda ya ziwa.
Ukioa moshi ni kama umeolewa wewe maana utapelekeshwa kama mbuzi.
Anyway, haya ni maoni yangu na mtazamo wangu, sio lazima uyapemde.
Mbona Mimi nimeoa mchaga wa Marangu Ila sijawahi kwenda mwisho wa mwaka huko? Na sasa hivi navyoandika hapa tumekuja nyumbani kwetu Uyole pamoja nae?
Acha Ku generalize boss. Na hata kama wanakwenda huko ni mapenzi Yao Tu hao ndugu zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Ukienda lazima mashemeji uwazungushie bia za kuonyesha kuweka heshima na kumjengea mkeo heshima kwa kaka zakeView attachment 1301715
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa wanakunywa au wanatengeneza bia hapo?!Ukienda lazima mashemeji uwazungushie bia za kuonyesha kuweka heshima na kumjengea mkeo heshima kwa kaka zakeView attachment 1301715
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaruhusu aende akienda ajue ndio kimoja siwezi mpokea tena akirudi