Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Narudia tena kushauri.

Moderators unganisheni nyuzi zote zinazohusu Wachagga ili kila mwenye dukuduku na kitu chochote kuhusu hilo kabila aende huko, haipiti siku hakujaanzishwa uzi kulihusu hili kabila.
Relax bosi...Ni msimu wa skukuu wacha watu wafurahi kabla hatujarudia shida zetu January.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ukioa mchaga huruhusiwi kulala kwa wakwe hata mkeo kwao kurudi nyumban km kaolewa lazm awe na statement ya kujitoshelezea ni kwann either tuu kuwe na emergency issue mfano msiba au hafla ya shughuli. Ila all in all mkwe mwanaume halali kwa wakwe ni mwikoo kwa wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni Msukuma, ila ndio nipo hapa Marangu Mtoni yaani ni Party after Party, yaani leo ni siku ya tatu tunakula bataa lefuuu, bata la huku si la kitoto sijui kesho itakuwaje wenzetu wanainjoy sana, sijui sisi Wasukuma tunakosea wapi? Hali ya hewa nzurii kuna kabaridi fulani hivii na kwa mbaali nasikia sauti ya maji yana tiririka nadhani sijui wanaita Waterfalls na pia kuna harufu fulani ya Miti unatoa harufu nzurii sana, hii Miti lazima nikapande kwetu Nyegezi.

Bia za huku ni tamuu tofauti kabisaa na kule kwetu nadhani maji wanayotumia kutengeneza sijui yanatoka Mbinguni, nimeapa kila mwaka nitadundulizaa fedha nije niinjoy na Washikaji wa ofisni wanaokaa huku aisee wenzetu wamebadilikiwa.
 
Mnasherekea sikukuu kwa kujadili makabila ya watu?
Mkuu JF inajadili hadi boxer( nguo) sembuse makabila. Yote bila kukashifu ni utani wa hapa na pale .

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Ukioa mchaga huruhusiwi kulala kwa wakwe hata mkeo kwao kurudi nyumban km kaolewa lazm awe na statement ya kujitoshelezea ni kwann either tuu kuwe na emergency issue mfano msiba au hafla ya shughuli. Ila all in all mkwe mwanaume halali kwa wakwe ni mwikoo kwa wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app

Bora useme wewe mkuu maana mi naongea hapa naonekana sijui vipi. Mimi ni mchaga, nina dada zangu, watoto wa baba wadogo, baba wakubwa, mashangazi, mama wadogo, majirani nk wote hao wameolewa na hakuna hata mmoja ambae amewahi kuleta mume au familia nyumbani kipindi cha xmass. Tunaokutana huku ni sisi wanaume na wake zetu tuu tunapiga pate afta pate, afta pate afta pate..
 
Mimi ni Msukuma, ila ndio nipo hapa Marangu Mtoni yaani ni Party after Party, yaani leo ni siku ya tatu tunakula bataa lefuuu, bata la huku si la kitoto sijui kesho itakuwaje wenzetu wanainjoy sana, sijui sisi Wasukuma tunakosea wapi? Hali ya hewa nzurii kuna kabaridi fulani hivii na kwa mbaali nasikia sauti ya maji yana tiririka nadhani sijui wanaita Waterfalls na pia kuna harufu fulani ya Miti unatoa harufu nzurii sana, hii Miti lazima nikapande kwetu Nyegezi.

Bia za huku ni tamuu tofauti kabisaa na kule kwetu nadhani maji wanayotumia kutengeneza sijui yanatoka Mbinguni, nimeapa kila mwaka nitadundulizaa fedha nije niinjoy na Washikaji wa ofisni wanaokaa huku aisee wenzetu wamebadilikiwa.
waskuma mna matatzo sana. et bia za huko n tamu znatengenezwa na maji kutoka mbinguni. kwan kuna kiwanda cha bia huko?? yaan nyie mkishaona ile rangi nyeupe ya watoto wa kichaga baaasiiii mshatekwa ila sio kosa lenu maana usukuman kupata msichana mweupe n changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Mimi nimeoa mchaga wa Marangu Ila sijawahi kwenda mwisho wa mwaka huko? Na sasa hivi navyoandika hapa tumekuja nyumbani kwetu Uyole pamoja nae?

Acha Ku generalize boss. Na hata kama wanakwenda huko ni mapenzi Yao Tu hao ndugu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Marangu tena ebo. Huyo wa marangu anakulia timing tu wewe subiri dawa yako iko jikoni.
 
waskuma mna matatzo sana. et bia za huko n tamu znatengenezwa na maji kutoka mbinguni. kwan kuna kiwanda cha bia huko?? yaan nyie mkishaona ile rangi nyeupe ya watoto wa kichaga baaasiiii mshatekwa ila sio kosa lenu maana usukuman kupata msichana mweupe n changamoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halooo nasikia hata first tanzanian aka Tanzania one wa white house ni msukuma. Je naye ana matatizo hayo uliyoyasema?
 
Mahusiano ni ya wawili, kama wanaokwenda wameridhia sioni wengine inawasumbua nini[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Halafu huu utaratibu ni utaratibu mzuri mnoooo, i wish na makabila mengine wangeuiga. Hawa watu ni majiniazi basi tu.
 
Kumbe kwenda ukweni ni kosa kubwa namna hiyo?? Sasa ka sisi tuliooa kule West Lake tena Ngara tutakaa tufike huko kweli?? Nikipiga hesabu ya mafuta ya gari na misukosuko ya tochi hadi nifike naona nitazeekea njiani. Hivyo huwa nawaalika kuja kukaa kwangu miezi 2 . Wakwe na mashemeji 4 na wake zao. Hiyo gharama nadhani waweza jenga nyumba ningine. Sasa hapo aliyeolewa ni huyo anayeenda kwa wakwe au mimi ninayewaleta darisalama?
Wewe sasa ndiyo kidume umeoa. Mambo ya kwenda kustarehe ukweni ni aibu ndiyo maana mleta mada akaona ni kama unakuwa umeolewa vile. Mwanaume gani unaacha kwenda kwenu unaenda kupumuzika ukweni. Bora wewe unayewaita wakwe waje kwako kula bata, huo ndiyo uanaume ila usiite wakwe tu ukasahau ndugu zako, nao waite wachanganyikane. Utakuwa umejijengea jina siyo mwanaume mzima kufunga safari kwenda kudeka ukweni. Hiyo ni aibu!!
 
Back
Top Bottom