Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Kichwa yako ndio haiko SawaSiwezi kuoa wachaga au wa Arusha na nilio date nao tu kwa kuwachezea kwa uchunguzi wangu mdogo ni kama vichwa vyao huwa vina shida nadhani ni malezi na mazingira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa yako ndio haiko SawaSiwezi kuoa wachaga au wa Arusha na nilio date nao tu kwa kuwachezea kwa uchunguzi wangu mdogo ni kama vichwa vyao huwa vina shida nadhani ni malezi na mazingira
Wabongo wengi huwa hawaniamini kuoa mwanamke mwerevu na mchakarikaji.Huo ni UONGO
Mwanamke wa kichaga wakati wa kuolewa anaaswa kabisa akaishi na mumewe na ikitokea kuna migogoro asuluhishe hukohuko na Mume wake, wamalizane sio akimbilie nyumbani kwao...lbd ikishakuwa critical issue
Kuna makabila wanaolewa lakini wanakuwa na kiherehere cha kukimbilia nyumbani kwao, kitu ambacho kinachangia kuvunja ndoa zao
Ndoa ni Wewe na Mkeo...mnapaswa kuwa huru na maamuzi yenu.
Wewe maskini mkubwa na elimu utapata wapi mahari ya shs. 300m ya kuoa binti wa kichaga aliyegharamiwa kwa kupewa elimu dunia ya kutosha elimu ya kiroho ya kutosha ana cheki namba ya mshara wa $4000 kwa mwezi na wazazi waliojitosheleza kimapato?. Tafuta kabila lako au nenda kusini huko kwenye mahari ya buku 5 na msahafu. Mabinti wa kichaga waache kama walivyo malabuku.Niliapa sitakuja kuoa Mchaga
Wabongo wengi huwa hawaniamini kuoa mwanamke mwerevu na mchakarikaji.
Hivyo kuhalalisha hilo huwa wanatunga mambo mengi kuonyesha kuwa wachaga hawafai
Uko sahihi, wanapenda mke wa kumfungia ndani..na eti anajivunia kuwa nina mke anayenisikiliza.Hawataki changamoto. Wanataka kuitikiwa tu.