Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Ukioa Kilimanjaro unakuwa ni sawa na umeolewa wewe, kila mwisho wa mwaka unatakiwa kwenda Moshi sherehe za mwisho wa mwaka

Siwezi kuoa wachaga au wa Arusha na nilio date nao tu kwa kuwachezea kwa uchunguzi wangu mdogo ni kama vichwa vyao huwa vina shida nadhani ni malezi na mazingira
Kichwa yako ndio haiko Sawa
 
Huo ni UONGO

Mwanamke wa kichaga wakati wa kuolewa anaaswa kabisa akaishi na mumewe na ikitokea kuna migogoro asuluhishe hukohuko na Mume wake, wamalizane sio akimbilie nyumbani kwao...lbd ikishakuwa critical issue

Kuna makabila wanaolewa lakini wanakuwa na kiherehere cha kukimbilia nyumbani kwao, kitu ambacho kinachangia kuvunja ndoa zao

Ndoa ni Wewe na Mkeo...mnapaswa kuwa huru na maamuzi yenu.
Wabongo wengi huwa hawaniamini kuoa mwanamke mwerevu na mchakarikaji.
Hivyo kuhalalisha hilo huwa wanatunga mambo mengi kuonyesha kuwa wachaga hawafai
 
Niliapa sitakuja kuoa Mchaga
Wewe maskini mkubwa na elimu utapata wapi mahari ya shs. 300m ya kuoa binti wa kichaga aliyegharamiwa kwa kupewa elimu dunia ya kutosha elimu ya kiroho ya kutosha ana cheki namba ya mshara wa $4000 kwa mwezi na wazazi waliojitosheleza kimapato?. Tafuta kabila lako au nenda kusini huko kwenye mahari ya buku 5 na msahafu. Mabinti wa kichaga waache kama walivyo malabuku.
 
Wabongo wengi huwa hawaniamini kuoa mwanamke mwerevu na mchakarikaji.
Hivyo kuhalalisha hilo huwa wanatunga mambo mengi kuonyesha kuwa wachaga hawafai

Hawataki changamoto. Wanataka kuitikiwa tu.
 
Hawataki changamoto. Wanataka kuitikiwa tu.
Uko sahihi, wanapenda mke wa kumfungia ndani..na eti anajivunia kuwa nina mke anayenisikiliza.
Oa mwanamke anayeweza hata kukushauri jambo na kusimamia familia.
 
Back
Top Bottom