Ukioa/kuolewa na mchawi Kuna siku utaliwa nyama

Ukioa/kuolewa na mchawi Kuna siku utaliwa nyama

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Habari ndio hiyo,

Kama anakula tu za wenzake ipo siku watamwambia alete ya ampendaye ambaye ndio wewe mme/make.

Ukiona mshirikina jibu ni moja dini kama hatak mwache usije ukawa msosi.
 
Nilikuaga na demu mchawi, aiseee yule mwanamke alikuaga anajua sana kunipea raha.😋

Alikuja kuchomwa moto baada ya kuanguka na ungo kwenye anga za walio mzidi nguvu. 😥

R.i.P kipenzi changu, tutaonana badae hny...😪
 
Back
Top Bottom