SawaWife material tupa kule, oeni pisi kali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sahihi kabisa.
Raha ya kuchepuka ni uchepuke na pisi kali kumzidi mkeo, sasa ukiona kila mwanamke nje ni pisi kuliko mkeo ujue umeoa mwanaume mwenzako mwenye viungo vya kike.
Wewe sio wa kubadilika kamwe.Sahihi kabisa.
Raha ya kuchepuka ni uchepuke na pisi kali kumzidi mkeo, sasa ukiona kila mwanamke nje ni pisi kuliko mkeo ujue umeoa mwanaume mwenzako mwenye viungo vya kike.
Tunachokitaka kipo kwa huyo aliyeolewa ila tunachepuka ili tusizeeshe/tusikichoshe kile tulichokuwa tunakitaka kwa yule aliyeolewa.Wanaume hata haijulikani mnataka nini. Ataoa sura ya baba. Out anatafuta mchepuko kifaa haswaa.
Kuna mtu ame-hack akaunti yangu 😎Wewe sio wa kubadilika kamwe.
Sio wote aisee, kuna demu za kawaida sana ukipiga tuu bc umeisha anakuwa kama amekuloga hv kila saa unataka kupiga.Mwanamke anakuwa mzuri sana kama hujatembea nae mara kwa mara.
Ila ukishamzoea tu. Anakuwa wa kawaida
Mkianza kuchapiwa mnakuja humu mnaanza kusapotiana Na kataa nfoaMke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu.
Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya wanaume.
Kuna rafiki yangu kaoa pisi kali kiasi kwamba hataki hata kuchepuka, kwasabb kila nyapu anayokutana nayo anaiona haina hadhi ya kumfikia mkewe.
Wife material tupa kule, oeni pisi kali.
Bora uchapiwe pisi kali inayougusa mtima, kuliko kuwa na mke mwenye sura ya baba mkweMkianza kuchapiwa mnakuja humu mnaanza kusapotiana Na kataa nfoa
[emoji23][emoji23][emoji23] Tunaoa wanaume wenzetu wenye viungo vya kike kuepusha kugongewa mkuu,.pamoja na utulivu wa akili.Sahihi kabisa.
Raha ya kuchepuka ni uchepuke na pisi kali kumzidi mkeo, sasa ukiona kila mwanamke nje ni pisi kuliko mkeo ujue umeoa mwanaume mwenzako mwenye viungo vya kike.