Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu.

Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya wanaume.

Kuna rafiki yangu kaoa pisi kali kiasi kwamba hataki hata kuchepuka, kwasabb kila nyapu anayokutana nayo anaiona haina hadhi ya kumfikia mkewe.

Wife material tupa kule, oeni pisi kali.
Ugua au pata ulemavu then ndio utajua haujui..

NB.
Mke mwema anatoka kwa MUNGU
 
Mdogo wangu haijalishi ni wife material au pisikali mwanamke ukishamvua nguo tu hakuna jipya,,,Sali Sana ukijua hakuna jambo linalotosha duniani,,,,Kila kitu huharibika baada ya kutumiwa!!
 
Kwahiyo sie tulio na sura za baba tutaendawapi😃
 
H
We nyege ndo zinakusumbua.
Hayupo mwanamke mbaya wala mzuri kwa mumewe. Wewe wa nje ndo unaona huo ubaya au uzuri ila sio kwa mumewe, mme anaweza mwona mke mzuri kwa kias chake na mbaya kwa kias chake.

Nikama unavyozaa mtoto, huwezi kumwona mwanao mbaya hata siku moja atakama ni mweusi kama giza ni lazima utampenda ata ukiletewa mtoto mwingine wa kiarabu ukae nae bado utandelea kumpendelea wako.
Umeongea ukweli mtupu, uzuri upo ndani ya (moyo)nafsi ya mtu anayemmpenda na sio watu wanaomuona, mtoto wako hata awe mbaya kiasi gani lakini wew utamuona kama malaika na hutatamani wa jirani kamwe!!
 
Mke atakuwa anajibidisha sana kwa kila kitu lkn moyoni atakuwa hayumo kabisa, na hata "moto atakuwa hauwashi". Ataonekana kama mjomba tu.

Jamani ndoa Ina raha kama umeoa pisi inayouwehusha moyo ukiitazama. Na hata ukitoka nayo out inakuinulia hadhi na kukufanya ujione wewe ni mwanaume kati ya wanaume.

Kuna rafiki yangu kaoa pisi kali kiasi kwamba hataki hata kuchepuka, kwasabb kila nyapu anayokutana nayo anaiona haina hadhi ya kumfikia mkewe.

Wife material tupa kule, oeni pisi kali.
Uoe pisi kali ,uoe sijui wa kawaida ila mwanaume hajawahi kurizika na mwanamke mmoja. Kuna watu wanapisi kali ila chepuka na demu wa kawaida, ukiwauliza watahamisha magoli na kusema mchepuko unamnato.
 
Back
Top Bottom