Ukioa kwa kigezo cha wife material, kuna siku utaona aibu hata kutoka naye out

Ugua au pata ulemavu then ndio utajua haujui..

NB.
Mke mwema anatoka kwa MUNGU
 
Mdogo wangu haijalishi ni wife material au pisikali mwanamke ukishamvua nguo tu hakuna jipya,,,Sali Sana ukijua hakuna jambo linalotosha duniani,,,,Kila kitu huharibika baada ya kutumiwa!!
 
Kwahiyo sie tulio na sura za baba tutaendawapi😃
 
H
Umeongea ukweli mtupu, uzuri upo ndani ya (moyo)nafsi ya mtu anayemmpenda na sio watu wanaomuona, mtoto wako hata awe mbaya kiasi gani lakini wew utamuona kama malaika na hutatamani wa jirani kamwe!!
 
Uoe pisi kali ,uoe sijui wa kawaida ila mwanaume hajawahi kurizika na mwanamke mmoja. Kuna watu wanapisi kali ila chepuka na demu wa kawaida, ukiwauliza watahamisha magoli na kusema mchepuko unamnato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…