Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

Ukioa kwenye familia yenye wazazi wenye maadili mabovu binti yao anaweza kuwa tofauti?

Mama Chromosome 23
Baba Chromosome 23
Hiyo ni kijenetiki.

Kitabia kuna Silika na hulka.
Silika mtoto anazaliwa/anarithi nayo, hulka anajifunza kwenye mazingira
 
Back
Top Bottom