Mbekenga JF-Expert Member Joined Jun 14, 2010 Posts 3,262 Reaction score 8,144 Aug 18, 2023 #21 Mara mia uoe kwenye familia ya jambazi lakini siyo kwa mchawi na kwa mchungaji.
Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Aug 18, 2023 #22 Mama Chromosome 23 Baba Chromosome 23 Hiyo ni kijenetiki. Kitabia kuna Silika na hulka. Silika mtoto anazaliwa/anarithi nayo, hulka anajifunza kwenye mazingira
Mama Chromosome 23 Baba Chromosome 23 Hiyo ni kijenetiki. Kitabia kuna Silika na hulka. Silika mtoto anazaliwa/anarithi nayo, hulka anajifunza kwenye mazingira