princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Tabata???Ukiona sehemu UWAKA imepoa ujue WAWATA nao wamepoa njoo parokia ya Kristu Mfalme uwaone UWAKA walivyo moto๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ
NdiyoTabata???
Wa kuzaliwa kuishi na kufa๐๐๐Ww utakuwa mlei muaminifu ๐๐๐
Mulemule ๐๐๐จ๐จWengi wao ni wanafki. Wachagua dhambi
Ushirika, ushiriki na umisionariOooh kanisa la kisinodi
Nipe ratiba za misa zenuNdiyo
Jumatatu hadi ijumaaNipe ratiba za misa zenu
Jibu la ukweli liko hapa, kwingine kote porojo tu.Hiyo jinsia wote wanafanana... Wakiwa ndani ya ndoa kwa ufupi desa lao ni moja regardless ..dini au kabila
Kijana!Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.
Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.
Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.
Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.
Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.
Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.
Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.
Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.
Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Tumsifu Yesu kristuWa kuzaliwa kuishi na kufa๐๐๐
Milele Amina๐๐Tumsifu Yesu kristu
AsanteeJumatatu hadi ijumaa
Saa 12:15 alfajiri hadi saa 1:00 NA
Saa 10:30 hadi saa 11:00 jioni
Jumapili
Misa l saa 11:00 alfajiri
Misa ll saa 12:30 alfajiri
Misa ll saa 2:30 aubuhi
Misa lV saa 4:30 asubuhi
Misa V saa 10:00 jioni
Kuabudu ekaristi takatifu saa 11:00 jioni
karibu