Ukioa mke mkirsto mkatoliki una asilimia nyingi za kuwa na familia yenye furaha na mafanikio

Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.

Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.

Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.

Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.

Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.

Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.

Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.

Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.

Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Ukweli kabisa.
 
KWA UPENDO WA KRISTO...
WAWATA TUNA KIKAO CHETU
 
100%

Shemeji yenu ni mkatoliki wajomba nkiishiwa hela au kupitia changamoto ni Sala ya mtakatifu Yudathaddei
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu ya vijana waliochezewa makalio na mapadri akili zao zinawaza ujinga.
Duniani tunaishi kwa amani kwasababu ya wakristo na dini zingine tofauti na uislamu. Hii commet yako ni ishara tosha wewe ni mtu wa shari.
Nchi za waislamu zina vurugu, hakuna amani wala uhuru mfano hai Sudan, Ethiopia, Somalia, Libya kila siku wanaunda vikundi vya kigaidi RSF, Al shabab, Al qaeda, Houthi n.k
Pale Zanzibar ukila mchana kipindi cha Ramadhan unachapwa viboko, Iran mwanamke hajafunika kichwa ameuliwa
 
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.

Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.

Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.

Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.

Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.

Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.

Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.

Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.

Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Unafananisha XP na Windows 11,shauri yake jichanganye kuangalia imani ukasahau tabia uone utavyo nyooshwa na ndoa ya kikatoliki haina talaka.
 
Kupitia mifano mingi hawa wanawake wa kikatoliki ni bora sana kujenga familia sio Tanzania tu hata duniani.

Mzee wangu ni muislamu alioa mke mkatoliki.

Mama alikataa kwenda kwenye uislam akabaki na ukristo wake lkn familia ilikuwa na amani na furaha sana.

Tulipokuwa primary hatimae mzee wetu naye akaenda kanisani mpaka sasa ni mkatoliki.

Sijawahi kusikia hata siku moja wakigombana wakati tunakua.

Mama hakosi jumuiya, hakosi kanisani, hakosi tukio lolote la kijamii kanisani.

Nimejaribu kuwaza nje ya familia, familia nyingi za kikatoliki zimenyooka sana sio Tanzania hata duniani.

Wanawake wakikatoliki kwanza hawayumbishwi kiimani.

Sisemi 100% kwamba wakatoliki wote lakini namba kubwa inawasapoti.
Kutana naanayesali kwa mwamposa sasa yerewii
 
Ni huko mtaani kwako, huku kwingine ndoa zinasambaratika kila wiki
 
Nina Kikristo hapa linanisumbua balaa
 
Back
Top Bottom