Ukioa mke mmoja akili haifanyinyi kazi!

MUNGU ALIUMBA ADAM NA "HAWA". IT MEANS WENG NA SIO HUYU ....KWANZA NCHI HAWEZI KUENDELEA BILA KUWA NA UPINZANI
.....SO LAZMA WAWE WENG PIA.
 
Nahunga mkono hoja kwanza wako wengi sana bila kuoa wengi wengine watakosa neema ya ndoa hivyo basi ni jukumu letu kuwasitiri
Mwanaume anao wajibu kwa mwanamke na ni tulizo, faraja, na maendeleo
 
yes sio unzinzi.. but kuoa hakukupi akili. kama huna huna tu.
mafanikio yako yanaletwa na fikra zako. si kuoa wake wengi
Fikra zinachajiwa na ongezeko la majukumu.... Acha kujicheleweshea maendeleo bwashee kamata mdada anae jitambua ongeza mke. Usiwe muoga ukaishia uzinifu.
 
Mke zaidi ya mmoja unajenga vita ya wanawake na ni umasikini wa fikra.

Kama umefeli maisha umefeli tu.

Ukiachilia mbali tamaa, fikiria maumivu ya hao wanawake kila unapotaka kuoa tena.
 
Mke zaidi ya mmoja unajenga vita ya wanawake na ni umasikini wa fikra.

Kama umefeli maisha umefeli tu.

Ukiachilia mbali tamaa, fikiria maumivu ya hao wanawake kila unapotaka kuoa tena.
Nilipokuwa na mke mmoja tulivuna kadri Allah alivyo jalia tukajenga nyumba mbili plus hii ya ghorofa tatu alipo bi mkubwa... Nikamwambia naongeza mke unaonaje akasema ewala bwana nikaongeza... Baada ya huyu mdogo kuja nikamweka floor ya pili... Alipo pata ujauzito akadai anataka nyumba yake nikaharakisha kujenga bahati nzuri nimeichukulia na mkopo naona biashara inakuwa zaidi ...najiuliza ingekuwaje nisingemuoa huyu.
 
Fikra zinachajiwa na ongezeko la majukumu.... Acha kujicheleweshea maendeleo bwashee kamata mdada anae jitambua ongeza mke. Usiwe muoga ukaishia uzinifu.
fikra haziletwi na ongezeko la majukumu.
fikra zinaletwa na uwezo wako wa kuchanganua mambo. jinsi unavyoish na jamii. jinsi unavyoona fursa.
wengine tulifanikiwa before hata kabla ya kuoa..
na mafanikio haya kuchagizwa na wanawake.

leo hii tanzania ingekuwa na matajiri wengi sana kama kuoa watu wengi = mafanikio.

sisemi watu wasioe. waoe..
ila mafanikio hayaji kwa kuoa wake wengi. mafanikio yanakuja kwa uwezo wako mwenyewe.. kiakili.

ukiwa hewa kichwani hata ukioa wake 1000.. utabaki pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…