Asante, kuna waoga wachache wanadai ooh kuoa sio kupata akili wana sahau siongelei uzinifu ni kuoa kwa heshima, kufunga ndoa na wanawake uwapendao.. mwanaume mwenye uwezo wa kuoa mke zaidi ya mmoja he is stress free, hivyo anakuwa na muda wa kutosha kufikiria namna ya kukuza mapato yake.Ueni tu kwaraha zenu!
Ww umeoa wa ngapi??Amani iwe kwenu!
Natoa wito kwa wanaume ili upate mafanikio ya haraka, oa mke zaidi ya mmoja, utaona nacho maanisha.
Baada ya wewe kupata stress unataka wengine wapate?Asante, kuna waoga wachache wanadai ooh kuoa sio kupata akili wana sahau siongelei uzinifu ni kuoa kwa heshima, kufunga ndoa na wanawake uwapendao.. mwanaume mwenye uwezo wa kuoa mke zaidi ya mmoja he is stress free, hivyo anakuwa na muda wa kutosha kufikiria namna ya kukuza mapato yake.