Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

Ukioa mwanamke amekuzidi IQ utapata tabu sana

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
 
Changamoto yao kubwa ni ujuaji mwingi hutoeza kumchit asijue, udanganyifu wowote ule unagonga mwamba Yani ni full mabishano. Ukiwa na Mali utapigwa bila kujua.
Pole sana mkuu umekanyaga pabaya...



Mwaka flani sitautaja jina..
Nilidate na demu flani hivi ambaye alikua vizuri sana kiuchumi imagine akiwa binti under 25 alikua tayari ana nyumba biashara na vichenchi kadhaa vya kula bata viwanja tofauti hapa mjini...

Isivo bahati alijikuta kanipenda kinyama mhuni tu wa mtaa mwanzo nilidhani nimepata dodo hadi rafiki zangu wakawa wananionea gere kumbe nilikua nimeyanyaga...

Basi mtoto akafa akaoza ikifika saa kumi tu jioni huyu hapa Getto kaja kifuatacho n burudani na minyanduano kichizi isingekua n mtu wa kupiga sana mazoezi na kula sana basi ningekonda niwe skelatoni maana yule dada ni anapenda sex balaa...

Mapenzi yalidumu kama mwaka ila hiko kipindi nilipitia vituko vingi sana. Kwanza hakutaka kabisa niongee na mwanamke yoyote ambaye sio ndugu yangu namaanisha hawa wadada wa mjini kilasiku ilikua na ugomvi hata nikienda kwenye duka au sehemu yyt ya huduma halafu nionekane nimechangamkiana na demu tukifika geto n ugomvi sema na Mimi n mbavu kiasi ila ningekua mnyonge angeniua... [emoji23]

Ikafika muda nikachoka na nikapanga kumpiga chini ... Siku hiyo nilipomwamba hata hakushutuka akasema kama nimeamia hivo poa tu ila nisije kumsumbua tena akasepa...

Sitaki kuelezea yaliyoafatia ila kudate na demu matawi jipange sana
 
Back
Top Bottom