Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Na hapo unakuta mimi ni bae namba 27, hahahaahah.
Hujambo?? Za masiku tele?? Umepoteaaaaa
[emoji28][emoji28][emoji28]we ndo bae namba 1 yaani one & only
Sijambo, nimekumiss aisee,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo unakuta mimi ni bae namba 27, hahahaahah.
Hujambo?? Za masiku tele?? Umepoteaaaaa
Wengine ni kaka zake pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume 50 duh.wote hao anaishi naye vipi?
Kati ya hao kuna sponsor wawili watatu na boyfriend wawili hivi. Waliobaki ni strangers na kama unavyojua stranger akiomba namba hana kingine zaidi ya kumtaka. Hapo ndipo njaa za kuishiwa vocha au luku zinakujaInakuja inakataa.
Umeambiwa 50... nikitafakari mwanamke anakuwaje na wanaume wote hao jamani wewe unakuja na wanaume 200.
Either wanawake tumeshajikatia tamaa hatujithamini tena ama mtoa mada na huyo shogaako mlilewa mkakosa cha kuongea.
Asante kwa kunielewesha Boo.Kati ya hao kuna sponsor wawili watatu na boyfriend wawili hivi. Waliobaki ni strangers na kama unavyojua stranger akiomba namba hana kingine zaidi ya kumtaka. Hapo ndipo njaa za kuishiwa vocha au luku zinakuja
Hapo ana wapenzi kama wawili anowapenda. Jumlisha main sponsors kama wawili alafu anabakiza wale wa kuomba Luku na vocha. Wanaoombwa ni wale waliokuwa na interest naeAsante kwa kunielewesha Boo.
Kwa maana hiyo hawezi kusema ana mtu wake sio?
Aisee.Hapo ana wapenzi kama wawili anowapenda. Jumlisha main sponsors kama wawili alafu anabakiza wale wa kuomba Luku na vocha. Wanaoombwa ni wale waliokuwa na interest nae
Roger that!Kuna mstari mwembamba Sana unaowatenganisha mabinti wa nyakati hizi na uchangudoa......
Pamoja na ujinga wangu wote I have a little girl and I love her so much I always make sure my commitment and everything I do is for her..kwanzia elimu ,na kila kitu nataka hata akiwa mdada mkubwa asipate tabu nimtimizie kila anachohitajiThat is no excuse.
Ingekuwa ni sahihi basi wangefundishwa nyumbani na wazazi wao kwamba kujitoa mhanga ndo dili na wala wazazi wasingehangaika na shule.
Tuache kufumbia macho huu ujinga wa wanawake kujirahisisha na kukubaliwa kulia shida.
Shida una mikono miwili miguu miwili, mapafu yamejaa pumzi badala ya kupiga mishe za halali unataka upigwe miti ulipwe?
I was raised by a Single Dad too and God Bless him for that.Pamoja na ujinga wangu wote I have a little girl and I love her so much I always make sure my commitment and everything I do is for her..kwanzia elimu ,na kila kitu nataka hata akiwa mdada mkubwa asipate tabu nimtimizie kila anachohitaji
Sasa hapa ninapokaa kwa jirani kuna wadada ni marafiki tu huwa wanasema unampenda sana binti yako uko serious nae sana .mi huwajibu kuwa sitaki aje kuwa tegemezi huko duniani labda anitegemee mimi hapo sawa nataka aje kuwa na financial freedom yake
Majibu hayo huwa ni haya nanukuu " mawazo yako ni ya wanaume bahili wasiokuwa na pesa "
Sasa ulivyoandika hapo juu kwa mara ya kwanza nimemsoma mtu mwenye mawazo kama yangu japo sijui kama umemanisha precisely kama nilivyoandika au nimekutafsiri vibaya
Au either ni kweli wako sahihi mwanamke wako lazima apewe pesa usipompa wewe unataka apewe na nani
Well done brotherPamoja na ujinga wangu wote I have a little girl and I love her so much I always make sure my commitment and everything I do is for her..kwanzia elimu ,na kila kitu nataka hata akiwa mdada mkubwa asipate tabu nimtimizie kila anachohitaji
Sasa hapa ninapokaa kwa jirani kuna wadada ni marafiki tu huwa wanasema unampenda sana binti yako uko serious nae sana .mi huwajibu kuwa sitaki aje kuwa tegemezi huko duniani labda anitegemee mimi hapo sawa nataka aje kuwa na financial freedom yake
Majibu hayo huwa ni haya nanukuu " mawazo yako ni ya wanaume bahili wasiokuwa na pesa "
Sasa ulivyoandika hapo juu kwa mara ya kwanza nimemsoma mtu mwenye mawazo kama yangu japo sijui kama umemanisha precisely kama nilivyoandika au nimekutafsiri vibaya
Au either ni kweli wako sahihi mwanamke wako lazima apewe pesa usipompa wewe unataka apewe na nani
Wateja wapo...achome vitumbua wakati madanga yapo?!Wachome vitumbua, maandazi au chapati wauze, au wauze nyanya na mboga mboga kwani biashara zingine zimeisha za kufanya?
Na hapo unakuta mimi ni bae namba 27, hahahaahah.
Duh...! Nikisoma hivi then nikiamuangalia binti yangu, nikiiangalia dunia ya leo, sijui hata itakuwaje. Nazidi kujifunza jinsi ya kulea, it's tough!I was raised by a Single Dad too and God Bless him for that.
My father taught me to appreciate the woman I see in the mirror and that the value of a woman is as high as she chooses to uphold her dignity.
Ukiamua thamani yako ni ya kuchezewa thats who you will end up being, umeshachagua fungu lako.
Ile closeness na Baba, na kutundisha A,B, Cs za how a man thinks zilitusaidia sana. Alitufundisha a man can go to such extremes kukupata sasa usipokuwa na akili ya ziada you will fail.
Pia alitufundisha kujitegemea, kutosubiri kupewa, alitufundisha a very humble life. We went to ordinary schools na hapo nilikiwaga sielewi zamani why imekuwa hivyo. Holidays zetu tulikuwa tunaenda childrens homes kuspend na the less fortunate.
Sasa katika malezi yako na binti yako wewe mhudumie ila mfundishe pia kuna kukosa ili akija kuishi maisha tofauti na unayompa ata survive bila kujishusha thamani yake.
And always, always mfundishe she will always be your little girl and always welcome at home.
Uone kama kuna kidume kitamburuza kisa vijisenti.
Do your best and let God do the rest.Duh...! Nikisoma hivi then nikiamuangalia binti yangu, nikiiangalia dunia ya leo, sijui hata itakuwaje. Nazidi kujifunza jinsi ya kulea, it's tough!
Wampelekee YesuSasa msipowapa hela mnataka shida zao wazipeleke wapi
Katika hili sitii neno.Inakuja inakataa.
Umeambiwa 50... nikitafakari mwanamke anakuwaje na wanaume wote hao jamani wewe unakuja na wanaume 200.
Either wanawake tumeshajikatia tamaa hatujithamini tena ama mtoa mada na huyo shogaako mlilewa mkakosa cha kuongea.
Hii ndio hali halisi but umenifurahishaThat is no excuse.