chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Unakuwaje huru wakati umeshaolewa na mahari kwenu wameshakula..utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuwaje huru wakati umeshaolewa na mahari kwenu wameshakula..utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
usipoweka sheria utaonekana bobonyautaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Unakuwaje huru wakati umeshaolewa na mahari kwenu wameshakula..
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
hebu toa elimu kdogohapana hapo ndo mnapokosea..
Tunawaachia wa hovyo wenzao. 🤨Ndio kubalance huko sasa mkichaguana wastaarabu, hao wa hovyo mnamuachia nani 😁
Htaki kuingiliwa kaa kwenu. Ukienda kwa mtu lazima ufuate utaratibu wa huyo mtu. Hamtaki kaeni kwenu ili muendelee kuwa huruutaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Watatoana damu halafu dunia itakua sio mahali salamaTunawaachia wa hovyo wenzao. 🤨
Kama mwanaume lazima nifanye risk assessment.. Yaani uniambie unaenda kwenye party la masela halafu kuna pombe utegemee ntakuruhusu? Maana mimi tayar najua yale sio mazingira rafiki.. ni rahisi kupelekewa moto... ukitaka uhuru tuachane
Wanawake wajinga sana wanataka waishi kibachelor ingali amekubali kuwa wawili hiyo inawezekana kwa mpumbavu tuu. Shwain zaoKwani mkikaa kwenu ili muishi mnavyotaka kuna ubaya gani. Unandoka kwenu unamfuata mwanaume halafu htaki akuweke utaratibu.
yaaani wanakera kupiga simu sasa ndo kila saanilishakutana na mwanaume jamani kule sio kuchunga ila ni kutafta msiba yaani alihack kila account,mara afungue account fb kwa jina langu,mara ajifanye mimi aone mwanaume anareact vipi sikuelewa ulikuwa ni wivu ama?kimbembe ajue mtu ananitongoza atafanya juu chini huyo mtu ajue mi ni mke wake,cha ajabu huyo kijana alikuwa na miaka 30,binafsi nilishindwa hayo mahusiano
kwani yeye ni mtotoKama mwanaume lazima nifanye risk assessment.. Yaani uniambie unaenda kwenye party la masela halafu kuna pombe utegemee ntakuruhusu? Maana mimi tayar najua yale sio mazingira rafiki.. ni rahisi kupelekewa moto... ukitaka uhuru tuachane
utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Mpigwe shaba tu hivo viburi vikome. Mme wako ni kama babaako na lazima akulimde na wewe umsikilize. Hili sio ombi ni amri ya Mungu hio.Wadanganyifu katika mahusiano;
Ni watu wanaopenda kutawala maisha ya wenzao, mfano anaweza kudukua simu yako, kukuchagulia marafiki, wengine wanazuiwa kufanya kazi, yaani kifupi anakuwa anajikuta kama ni baba yako na huku mmejuana ukubwani na hapo hata hajakuoa.
Wanapenda kutishia wenzao, mfano anaweza kukwambia ukienda kwenye hiyo shughuli usirudi hapa nyumbani, kulazimisha vitu/kutumia nguvu hata pasipohitaji matumizi ya nguvu.
Watu wa namna hiyo ni hatari sana, kwa kuwa anaweza kukufanya uwe na mashaka na uwezo wako binafsi (self-doubt) na kupelekea kutokujiamini.
Vipi mmeshawahi kukutana nao?
Itakuwa mijeredi ya huyo jamaa ni kiboko🤣🤣🤣🤣🤣Cha ajabu mtu wa hivyo ndio moyo unatia nanga hapo hata aje nani hakubandui.....moyo ahsante kwa kunifanya mi punda nigee na mijeredi kabisa