Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Halafu kwenye hii thread hapo mwanzo niliandika MANIPULATORS katika mahusiano sio WADANGANYIFU katika mahusiano... moderators naona kama haya maneno hayamaanishi kitu kimoja
 
nilishakutana na mwanaume jamani kule sio kuchunga ila ni kutafta msiba yaani alihack kila account,mara afungue account fb kwa jina langu,mara ajifanye mimi aone mwanaume anareact vipi sikuelewa ulikuwa ni wivu ama?kimbembe ajue mtu ananitongoza atafanya juu chini huyo mtu ajue mi ni mke wake,cha ajabu huyo kijana alikuwa na miaka 30,binafsi nilishindwa hayo mahusiano
 
Kama mwanaume lazima nifanye risk assessment.. Yaani uniambie unaenda kwenye party la masela halafu kuna pombe utegemee ntakuruhusu? Maana mimi tayar najua yale sio mazingira rafiki.. ni rahisi kupelekewa moto... ukitaka uhuru tuachane
 
Huyo ndo mimi sasa na ndo mshauri wa wote wanafanya hivyo mke mke tu hata afanyeje labda azibe kule
 
Kwani mkikaa kwenu ili muishi mnavyotaka kuna ubaya gani. Unandoka kwenu unamfuata mwanaume halafu htaki akuweke utaratibu.
Wanawake wajinga sana wanataka waishi kibachelor ingali amekubali kuwa wawili hiyo inawezekana kwa mpumbavu tuu. Shwain zao
 
yaaani wanakera kupiga simu sasa ndo kila saa
 
Kama mwanaume lazima nifanye risk assessment.. Yaani uniambie unaenda kwenye party la masela halafu kuna pombe utegemee ntakuruhusu? Maana mimi tayar najua yale sio mazingira rafiki.. ni rahisi kupelekewa moto... ukitaka uhuru tuachane
kwani yeye ni mtoto
 
utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu

Njia pekee ya kutokuingiliwa uhuru wako ni kukataa mahusiano ikiwemo ndoa.

Ukishaolewa au uko na mwanaume kubali tu lazima nitakupangia hutaki ondoka, wanaume tumeumbwa ivo.

Ukiona huwezi tuachane ila 100% hakuna mwanaume ataacha kukupangia labda awe kaolewa nawewe na hana akili hata moja kichwani
 
Mpigwe shaba tu hivo viburi vikome. Mme wako ni kama babaako na lazima akulimde na wewe umsikilize. Hili sio ombi ni amri ya Mungu hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…