Ukiona ana sifa hizi kimbia mapema

Mshamba huyo
 
utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Uhuru binafsi upi? Sio mwanammke tu hata kwa mwanaume ,ukishaingia kwenye ndoa basi kuna terms and conditions lazima muhafikiane na mnafikiana through kuambiana,lazima uende na beat ya mwenzako! Kama ulikuwa unapenda kwenda clubs basi tafuta mpenda clubs mwenzako hapo hamtakwazana!!
 
Kama mwanaume lazima nifanye risk assessment.. Yaani uniambie unaenda kwenye party la masela halafu kuna pombe utegemee ntakuruhusu? Maana mimi tayar najua yale sio mazingira rafiki.. ni rahisi kupelekewa moto... ukitaka uhuru tuachane

Wanawake hawajui hili,wanataka waendelee na utopolo wao wakati wapo kwenye ndoa.

Mimi binafsi si entertain ujinga kabisa ,ukiwa macho juu juu lazima nikupige chini tu.....Uhuru ndio mwisho yanaokea ya katibu na monika seka.
 
Yaani anataka aishi kama yupo single ,kuflirt na masela ,kutoka kwenda clubs , kuwasiliana na maX wake , kutoka bila kuaga na kurudi muda atakao yeye ,kulala na jinsi etc
hapana jmn, kuna wanaume wanawazuia wanawake zao kufanya viti vya msingi kama kuwakataza kufanya kazi..
wewe unawaponda tu wanawake huna lolote
 
Yaani acha tu.

Unamkuta mwanaume amekukuta unafanya kazi bank, mshahara wako mzuri tu. Anakuonesha mapenzi ya kweli unasema mwanaume si ndo huyu. Hajawahi kugusia kwamba nikikuoa utaacha kazi, hakupangii marafiki wala nini na amekukuta unaishi vizuri na ndugu zako na rafiki zako. Umezoea unajinunulia nguo zako na vitu kama hivyo.

Sasa subiri akuoe. Anaanza. Mi sipendi pale unapofanyia kazi, sasa unamuuliza kwanini kipindi tupo kwenye uchumba hukuwahi kusema kwamba hupendi ofisi yangu na hutamani nifanye kazi hapa ili nijue kama ntaweza kuishi
Na wewe au la. !! Kwanini usubiri unioe ndo uniachishe kazi. Unakuta mtu anakwambia mi staki hiki staki kile na kipindi cha uchumba hakuwahi kusema hivyo vyote.

Kakukuta una gari, una viwanja anataka na yeye majina yake
Yawepo kwenye hivyo viwanja. Hivi huwa shida ni nini? Af wanaume wa hivyi
Wanaenda kutangaza mwanamke msomi mjeuri. Sasa kwanini usingeenda kuoa wa darasa la saba? Mimi
Nna familia nasaidia vitu vidogo umenikuta nawahudumia na hata mia yako sijawahi kukuomba. Unanioa unaanza kunipangia na hata nikiacha kazi unaanza manyanyaso ukiomba hela yaani utaulizwa ya nini. Hadi uje na
Proposal kama unaomba funds UN. Aisee wanaume kwani wanawake huwa wanaomba sana muwaoe? Mbona mnawatreat kama they are desperate in getting married? Umemkuta mtu ana mfumo wake na unajijua we ni mtemi muache tafuta kingedere chako ukipelekeshe
 
ndio sijakataa sababu ndoa ni compromise, lakini kuna wengine wanataka wao ndo wawe na sauti atachosema ndo kifanyike mwenzake hana maamuzi kabisa juu ya chochote
 
hapana jmn, kuna wanaume wanawazuia wanawake zao kufanya viti vya msingi kama kuwakataza kufanya kazi..
wewe unawaponda tu wanawake huna lolote

Kama vitu vya msingi sawa ila kuna mwingine anaangalia pia mazingira ya kazi yenyewe ,kuna wanawake wengine wanatumia mazingira ya kazi kufanya mambo yao halafu ukiangalia mshahara wenyewe Penenge wa muhindi au wa makampuni ya ulinzi 150k ambao mmewe anaweza kumlipa na akamwambia atulie home alee watoto.
 
ndio sijakataa sababu ndoa ni compromise, lakini kuna wengine wanataka wao ndo wawe na sauti atachosema ndo kifanyike mwenzake hana maamuzi kabisa juu ya chochote

Kwa hapo nakuunga mkono lazima msikilizane,hakuna aliye juu ya mwenzake...ndoa iheshimiwe na watu wote.
 
Yaani wanaume wa namna hiyo wanakuwaga hawajiamini na wanaona ukiwa tegemezi ndo ataweza kukucontrol vizuri jmn wanawake wenzangu msije mkathubutu kuacha kazi kwa sababu mwanaume kasema uache
Na nyie wanaume kama unaona kuwa na mwenza msomi mwenye kazi yake inakupunguzia kujiamini kwako, hujalazimishwa kuwa nae, umuoe afu uje kumwambia aache kazi hapana, tafuta wanawake majobless mbona wapo kibao na umwambie umempendea ujobless wake ili umpelekeshe vizuri
 
utaratibu unaoingilia uhuru binafsi wa mtu
Mh uhuru binafsi aje jmn wakati umeshirikisha mwili tayari? Au unataka ubinafsi na sio uhuru binafsi, uhuru binafsi nahisi ni wasio na mshirika yeyote, wenye ushirika wa chochote ni kushirikiana kwa karibu ili ushirika udumu jamanii..[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…