Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake haipatikani ikabidi niende kwake naona chombo iko lakini kijana hayupo it was mystery.

Kumbe kijana wawatu kamkimbia baba mwenye nyumba baada ya kumtisha kijana huyo wa boda boda kuwa atamteka na kumpoteza maisha yake akiendelea kuwa kwenye mahusiano na binti wake wa kazi..

Ukweli huu nimeupata baada ya huyo kijana wa boda boda kunipigia simu na namba ngeni na kuzungumza hayo sasa kwakuwa mimi ni mkongwe kwenye haya maisha nikajua tu huyu baba mwenye ile nyumba anakula huyo housegirl kiasi cha kumtishia kijana wa bodaboda maisha nikamwambia rudi uje kukaa kwangu na hiyo boda then tutajua tunadeal naye kiaje huyo kiumbe.

Hii kitalaamu huwa iko hivi; mwanaume akishafanya mapenzi na mwanamke yoyote anayempenda anaingia kwenye jambo linaloitwa (soul boundage i.e utumwa wa nafsi/kufungwa nafsi) jambo hili humpelekea kufanya jambo lolote kwa ajili ya kumlinda huyo mwanamke asimponyoke hata kama jambo hilo lina hatari upande wake na wanaomzunguka.

Wanaume wengine tunazingua, papuchi ni ya housegirl wewe kinachokuumiza hasa kwa housegirl ni nini kiasi cha kujiingiza kwenye mikono ya sheria na kuvuruga amani ya familia... insane
 
Sasa unataka boda boda achukue mfanyakazi alafu wewe utaenda kuwasaidia kazi hapo nyumbani?
 
House girl ni wangu, anakaaa kwangu, namlipa mshahara Mimi, Mimi ndio nimemchukua kwa wazazi wake, wewe unataka ule kirahisi tu.
Kama unataka, leta posa ili niwashirikoshe wazazi wake na badae uoe kihalali.

Boda boda waharibifu sana, ukiwachekea wanakula mpaka Mke wako.
 
HII NI MOJA YA POST ZA HOVYO KABISA!
Baba mwenye nyumba anawajibu wa kulinda House girl kama mtoto wake.
Ukumbuke baba ndiye mlezi wa watu wote waliopo chini ya himaya yake; bila kujali ni House girl au hata mgeni aliyefikia kwake.
Baba anayetambua majukumu ya baba hawezi kuruhusu wahuni wafike nyumbani kwake kuhangaika na watoto wake (house girl akiwa kwake ni mtoto wake)
Kama huyo kijana wako anataka kuoa, apeleke posa ataelekezwa kwa wazazi wa huyo mtoto.
 
Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake haipatikani ikabidi niende kwake naona chombo iko lakini kijana hayupo it was mystery.

Kumbe kijana wawatu kamkimbia baba mwenye nyumba baada ya kumtisha kijana huyo wa boda boda kuwa atamteka na kumpoteza maisha yake akiendelea kuwa kwenye mahusiano na binti wake wa kazi..

Ukweli huu nimeupata baada ya huyo kijana wa boda boda kunipigia simu na namba ngeni na kuzungumza hayo sasa kwakuwa mimi ni mkongwe kwenye haya maisha nikajua tu huyu baba mwenye ile nyumba anakula huyo housegirl kiasi cha kumtishia kijana wa bodaboda maisha nikamwambia rudi uje kukaa kwangu na hiyo boda then tutajua tunadeal naye kiaje huyo kiumbe.

Hii kitalaamu huwa iko hivi; mwanaume akishafanya mapenzi na mwanamke yoyote anayempenda anaingia kwenye jambo linaloitwa (soul boundage i.e utumwa wa nafsi/kufungwa nafsi) jambo hili humpelekea kufanya jambo lolote kwa ajili ya kumlinda huyo mwanamke asimponyoke hata kama jambo hilo lina hatari upande wake na wanaomzunguka.

Wanaume wengine tunazingua, papuchi ni ya housegirl wewe kinachokuumiza hasa kwa housegirl ni nini kiasi cha kujiingiza kwenye mikono ya sheria na kuvuruga amani ya familia... insane
Mbona ni kama umeshajibu tayari kile kitu kinachomsababisha amuonee wivu house girl wake?
 
Haya mrudishe huyo boda boda halafu tuone mtawezaje kudeal na mimi nyie viumbe, insane,😒
 
Back
Top Bottom