Basi tusake mitaji tuingie groundusichukulie poa hio
kuna watu wana uza mamia ya gunia kila mwezi hizi shule za boarding
kwenye biashara ni uzoefu wakuwa kwenye game kwa muda mrefu na connectioons ndio hufanya hata walioanza na mitaji midogo kudika mbali.Basi tusake mitaji tuingie ground
"madoni" ndiyo ma nani?
Vijana wa sasa ukishawagusia tu suala kuvumilia japo miaka mi 5 ku grow biashara,aisee watakutukana na watakupiga mawe..Wao ni wanataka ishu za BOOM!! BAAAH!!! umelala masikin umeamka tajiri..ni generation Z kama asemavyo LIKUDusichukulie poa hio
kuna watu wana uza mamia ya gunia kila mwezi hizi shule za boarding
ukijipa muda kama miaka 10 upate uzoefu na connections inaweza kukutoa
Ukimsikia kijana anakuimbia wimbo wa mtaji we jua tuu hapo hamna kitu..Ni kichaka cha kujificha..Brother. ni hatar..Na hasa vijana wa Kiumekwenye biashara ni uzoefu wakuwa kwenye game kwa muda mrefu na connectioons ndio hufanya hata walioanza na mitaji midogo kudika mbali.
kama ni mitaji pekee tunaona watumishi wengi wanakopa benki milioni 10 ila uzoefu na connections hawana, biashara zinafeli.
mtaji uwepo ila sio kitu pekee cha kukitegemea
wanaotoboa fasta ni wachache sana na ukifatilia unakuta familia yao ni wafanya biashara matajiri hivyo anapigwa jeki asiangukie pua, wengine wametumia mbinu za kikatili kuharakisha, wengine wana baraka zao maalum, hawa si watu wa kufata nyayo zao utaishia kukata tamaa.Vijana wa sasa ukishawagusia tu suala kuvumilia japo miaka mi 5 ku grow biashara,aisee watakutukana na watakupiga mawe..Wao ni wanataka ishu za BOOM!! BAAAH!!! umelala masikin umeamka tajiri..ni generation Z kama asemavyo LIKUD
I agree n i understand.. am in software development buznes na imenichukua miaka 2 kuanza ku generate income toka -ve income ( operation costs) to 1.8M per month..Sijazungumzia faida kumbuka..Hiyo atleast ina solve issue kama kodi ya ofis nauli na viposho vya hapa pale....biashara halali ukiwa na roho ndogo bas lazima uje na maneno kama ya mleta mada...Huwez kaa utakimbia tuukuna mtu 1 katika kundi la watu 100 ana bahati ama distinct advantages ya kutoboa ndani ya ,muda mfupi ila hawa watu si wa kuwafatisha hata kidogo.
kwa hali ya kawaida kwenye biashara inabidi ukae walau miaka mitano hivi ndio utaanza kujua mambo mengi, connections na kuutumia uzoefu wako kujitajirisha.
just imagine hapo umeanza kutengeneza income baada ya miaka miwili, sio rahisi na inahitaji uvumilivu, consistency, kutumia vidogo unavyopata kukua, n.k.I agree n i understand.. am in software development buznes na imenichukua miaka 2 kuanza ku generate income toka -ve income ( operation costs) to 1.8M per month..Sijazungumzia faida kumbuka..Hiyo atleast ina solve issue kama kodi ya ofis nauli na viposho vya hapa pale....biashara halali ukiwa na roho ndogo bas lazima uje na maneno kama ya mleta mada...Huwez kaa utakimbia tuu
You are very right.Hii game ya biashara si ya ki ya kitoto.Show za ng'ombe, mbuzi hasogei 1😂😂...kuna muda unataman kuliaaaa kuna muda unatamani hata kuroga 🤣.just imagine hapo umeanza kutengeneza income baada ya miaka miwili, sio rahisi na inahitaji uvumilivu, consistency, kutumia vidogo unavyopata kukua, n.k.
wengi wanakimbiaga huu msoto.
Na ndio maana hata fundi mzoefu akitumia dakika 1 kurekebisha gari lenye tatizo lililoshindikana kwengine, akiomba laki wewe mpe tu, unalipia uzoefu wake aliotumia miaka mingi kuupata na kutokata tamaa.
Msoto hauzoelekiwengi wanakimbiaga huu msoto.
Sio kweli, ni mtazamo wako tu mkuuKilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache waliochana msamba.
Ukifanya biashara ambazo hazina madoni kusanya mtaji uhamie biashara zenye madoni ili walau hata ukipambana miaka nane hata ukifikia theluthi ya hao madon bado utaweza kujenga nyumba nzuri, kulipia watoto shule private, kusaidia wazazi wako( kama wapo), n.k. sio biashara hizi ukiwa mgonjwa hata mwezi unaanza kukopa.
Msoto hauzoeleki watu wanafunga biasharaMsoto haujawai kuzoeleka ila kupitia msoto kuna uzoefu na connection unapata pamoja na kujua namna ya kutumia akili kuukwepa, ndio siri kubwa ya kupanuka kibiashara
Kwanza madoni ndo nini tuanzie hapoKilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache waliochana msamba.
Ukifanya biashara ambazo hazina madoni kusanya mtaji uhamie biashara zenye madoni ili walau hata ukipambana miaka nane hata ukifikia theluthi ya hao madon bado utaweza kujenga nyumba nzuri, kulipia watoto shule private, kusaidia wazazi wako( kama wapo), n.k. sio biashara hizi ukiwa mgonjwa hata mwezi unaanza kukopa.