NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Kilimo kina madoni
Uchimbaji madini una madoni
Vitenge kuna madoni
Car wash zina madoni
Bar zina madoni,
samaki zina madoni
restaurant zina madoni
hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio guarantee) wa kutoboa hata ukiwa kwenye kundi la wengi waliopiga hatua ukiachana na madon wachache waliochana msamba.
Ukifanya biashara ambazo hazina madoni kusanya mtaji uhamie biashara zenye madoni ili walau hata ukipambana miaka nane hata ukifikia theluthi ya hao madon bado utaweza kujenga nyumba nzuri, kulipia watoto shule private, kusaidia wazazi wako( kama wapo), n.k. sio biashara hizi ukiwa mgonjwa hata mwezi unaanza kukopa.